Minah24
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,043
- 1,937
Zamani Nilikuwa naogopa Sana kupokea zawadi ya aina yoyote kutoka kwa boyfriend kwa kuhofia kudaiwa baada ya mahusiano kwisha, kama[emoji115][emoji115]ivo[emoji23][emoji23]
nakumbuka niliwai kupewa simu, niliiweka tu nyumbani tena kwenye begi la nguo ili icje ikaharibika na Mwisho wa siku tuliachana nikaambiwa CM yangu jumapl uilete nanikairudisha ikiwa mpya
Sasahv nikipewa hela na anko boyfriend Hiyo Hiyo Ntairudisha kwake kwa kumnunulia zawadi
Kulingana na pesa aliyonipa
Kwanini wanaume huwa mnadai zawadi mlizokuwa mnawapa wapenzi wenu jamaniiii