Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

Mm nakumbuka kuna mkaka alikuwa mtaani kwetu alikuwa anapenda sifa nikaamua kumkomesha alivyonitongoza akawa ananihudumia balaa mazawadi kibao pesaa yani full raha akitegemea atapata papuchi na hiyo njia alikuwa anatumia kuwalaghai Wadada siku nilivyomfukuza mbn nilikoma
Akaja mpka home kwetu kudai vitu vyake kwamba nimlipe
Mama angu akamwambia hata rais huwa anatoa rushwa ili apate kura akikosa huwa anarud kwenda kuwadai wapiga kura?
Toka siku hiyo alishika adabu ananichukia kuna siku alitaka kunigonga na gar kwa makusudi
Acha uchoyo
 
Nilikuwa na cm kabla cjapewa nyingine, yakwake Nilikuwa Natumia nikienda kwake tu

Na wakati huo Nilikuwa bado Nipo shule,cm niliyokuwa nayo alininunulia baba angu na Nilikuwa Naishi kwa wazazi, kwaiyo cm ya boyfriend Nilikuwa naifichaga tu
Sasa hivi hufichi tena?!
 
ee4b05789659043aa89f6fead5825da9.jpg

Zamani Nilikuwa naogopa Sana kupokea zawadi ya aina yoyote kutoka kwa boyfriend kwa kuhofia kudaiwa baada ya mahusiano kwisha, kama[emoji115][emoji115]ivo[emoji23][emoji23]

nakumbuka niliwai kupewa simu, niliiweka tu nyumbani tena kwenye begi la nguo ili icje ikaharibika na Mwisho wa siku tuliachana nikaambiwa CM yangu jumapl uilete nanikairudisha ikiwa mpya

Sasahv nikipewa hela na anko boyfriend Hiyo Hiyo Ntairudisha kwake kwa kumnunulia zawadi
Kulingana na pesa aliyonipa

Kwanini wanaume huwa mnadai zawadi mlizokuwa mnawapa wapenzi wenu jamaniiii
Vinatafutwa kwa shida kisha mnapewa kwa moyo sasa kama hutoheshimu jasho la mmeo na kuthamini moyo wake ya nini ubaki nacho
 
Mm nakumbuka kuna mkaka alikuwa mtaani kwetu alikuwa anapenda sifa nikaamua kumkomesha alivyonitongoza akawa ananihudumia balaa mazawadi kibao pesaa yani full raha akitegemea atapata papuchi na hiyo njia alikuwa anatumia kuwalaghai Wadada siku nilivyomfukuza mbn nilikoma
Akaja mpka home kwetu kudai vitu vyake kwamba nimlipe
Mama angu akamwambia hata rais huwa anatoa rushwa ili apate kura akikosa huwa anarud kwenda kuwadai wapiga kura?
Toka siku hiyo alishika adabu ananichukia kuna siku alitaka kunigonga na gar kwa makusudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimewapenda bure you and your mom
 
Nikuambie kitu, first gift I accepted was from my husband. I don't mean to shun you but for me I take a different stance.

Wanaume hawatoi gift tu just because wanajiskia. Waone hivi hivi. Huwa wanatoa gifts kama wanainvest vile. Wanakuvutia kasi tu. Wanajua watakupata tu no matter how long it takes but they bank on their gifts knowing that sooner or later.... they will have you. And the deeper their pockets the sooner they will have you.

Sasa we hapo pokea pokea tuuuuuu. Chekelea tuu. Mwisho wa siku utajipeleka mwenyeweeeee machinjioni. Tena macho makavuuuu. Sasa kuna mawili. Akadai zawadi zake sababu alichotarajia sicho, you were not worth the chase or you gave in too soon.

To be on the safe side, decline the gifts. Say no. Don't trade your soul with gifts which is the devils way of luring you into sin.

Believe me, utaepuka mengi. Hata gear ya usumbufu itampungua.
Ndo maana nikipewa hela nairudisha kwa kumnunulia zawadi
Cna cha kudaiwa tena
 
Mm nakumbuka kuna mkaka alikuwa mtaani kwetu alikuwa anapenda sifa nikaamua kumkomesha alivyonitongoza akawa ananihudumia balaa mazawadi kibao pesaa yani full raha akitegemea atapata papuchi na hiyo njia alikuwa anatumia kuwalaghai Wadada siku nilivyomfukuza mbn nilikoma
Akaja mpka home kwetu kudai vitu vyake kwamba nimlipe
Mama angu akamwambia hata rais huwa anatoa rushwa ili apate kura akikosa huwa anarud kwenda kuwadai wapiga kura?
Toka siku hiyo alishika adabu ananichukia kuna siku alitaka kunigonga na gar kwa makusudi
Ulizinguaaa...Wew na mama akoo mnakulaa hela za watuu alafu hutaki utiwee???
 
Vinatafutwa kwa shida kisha mnapewa kwa moyo sasa kama hutoheshimu jasho la mmeo na kuthamini moyo wake ya nini ubaki nacho
Ndo udai kama huyo anaedai damu aliyomtolea wakati anaumwa?
Hapana aicee vingine muwe mnasamehe
 
Me sijawahi kudai mtu vitu tukiachana Hasaa kama Nishamvuaa kyupii...!! Lakini ujidai unakula vitu vyangu afuu unipotezeeee yani kwanza utakula vichachee sanaa...Ukilaa pesa ukijidai unaniacha aisee nakupa neno moja tu...
 
Ctak kabisaaa
Unaeza ukapewa gari, Mwisho wa cku unyang'anywe kila mtu ajue halikuwa la kwako

Izi aibu ndo czipendi
It seems like u av lots of boyfriend issues

Huyu jamaa hujampenda kbs
 
Mwanaume Wa kweli akitoa huhesabu ni sadaka
Mm nikitoa nahesabu sadaka na siiweki akilini kbs

Hata akishoboka namuaga kwa neno tamu tu

Daima huwa wananikumbuka wanabaki kubung'aa tu na mm akinitema huwa naacha hata mazoea nayatoa
 
Me sijawahi kudai mtu vitu tukiachana Hasaa kama Nishamvuaa kyupii...!! Lakini ujidai unakula vitu vyangu afuu unipotezeeee yani kwanza utakula vichachee sanaa...Ukilaa pesa ukijidai unaniacha aisee nakupa neno moja tu...
Samehe tu atakama ujatunukiwa papuchi
 
Wanaume wa Kisukuma ndiyo wana tabia hizi,vinginevyo huyo mwanaume atakuwa njaa kali.

Lakini na nyinyi wanawake muache tabia za kuchuna ndiyo maana munadaiwa.
 
It seems like u av lots of boyfriend issues

Huyu jamaa hujampenda kbs
Kama cjampenda mtu cwez kumkubali kabisaaa

Uoga wa kudaiwa ndo unanisumbua

Alafu huwa Naamin kitu cha mtu mwingine cyo changu, ntakitumia kwa umakin kicje kikaharibika
 
Kama cjampenda mtu cwez kumkubali kabisaaa

Uoga wa kudaiwa ndo unanisumbua

Alafu huwa Naamin kitu cha mtu mwingine cyo changu, ntakitumia kwa umakin kicje kikaharibika
Hehehehehe

Unaweza kumkubali mtu kwa manufaa mengine tu
 
Back
Top Bottom