Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

Nimegomaa kwanunulia simuu Wengi sanaaa maana najua Ukimnunulia afuu akaanza dharau unaweza Uaa mtuu... HAWA VIUMBE SIO KABISAA... Unamnunulia simu kesho simu hiyohiyo anaitumia kupiga picha za uchi kumtumia Mchepuko wake...
 
Huogopi kupeana funguo mkuu?
Iko cku utasaidiwa kuhama wewe Ohooo!
Aaahh mkuu unapoingia kwa mahusiano ,inshu za kutoaminiana ,hofu nawasiwasi hazina maana yoyote !!. So kuna wakati upo mbali nalazima usafi ,kuna wakat tu anahitaji aje akusaidie usafi ukiwa upo kwa mishe.

So inshu za kuamishiwa nilabda uwe umeokatana naye mazingira ya ajabu ,anauswahili mwingi,, nahata ivo ,utakavyoamisha na Nikakukamata ndo utajua Jamaa kumbe linaroho mbaya ivi ,sikusamehi ng'ooooooooo
 
ee4b05789659043aa89f6fead5825da9.jpg

Zamani Nilikuwa naogopa Sana kupokea zawadi ya aina yoyote kutoka kwa boyfriend kwa kuhofia kudaiwa baada ya mahusiano kwisha, kama[emoji115][emoji115]ivo[emoji23][emoji23]

nakumbuka niliwai kupewa simu, niliiweka tu nyumbani tena kwenye begi la nguo ili icje ikaharibika na Mwisho wa siku tuliachana nikaambiwa CM yangu jumapl uilete nanikairudisha ikiwa mpya

Sasahv nikipewa hela na anko boyfriend Hiyo Hiyo Ntairudisha kwake kwa kumnunulia zawadi
Kulingana na pesa aliyonipa

Kwanini wanaume huwa mnadai zawadi mlizokuwa mnawapa wapenzi wenu jamaniiii
Kama kutoa hutoi kwa nini usirudishe vitu vya watu? Kwani hana ndugu wenye uhitaji? Hanna haki isiyo kuwa Na wajibu
 
Mm nakumbuka kuna mkaka alikuwa mtaani kwetu alikuwa anapenda sifa nikaamua kumkomesha alivyonitongoza akawa ananihudumia balaa mazawadi kibao pesaa yani full raha akitegemea atapata papuchi na hiyo njia alikuwa anatumia kuwalaghai Wadada siku nilivyomfukuza mbn nilikoma
Akaja mpka home kwetu kudai vitu vyake kwamba nimlipe
Mama angu akamwambia hata rais huwa anatoa rushwa ili apate kura akikosa huwa anarud kwenda kuwadai wapiga kura?
Toka siku hiyo alishika adabu ananichukia kuna siku alitaka kunigonga na gar kwa makusudi
Kula utoe papuchi, mtu umebana afu wataka uachwe tuu.
 
Hahaha halafu wakikupeleka pale golini kwao makumbusho wanakuonyesha na daily news fent fod ma nigga kigwa akiwa amezungukwa na lundo matapel, wanakwambia wao ni legit thats why muheshimiwa alifika kwenye uzinduz wao ila kwa sis wenye negative energies sensers tunatambuaga negative energies from kilometer away nikajua tu apa kuna ujizi unaendelea
 
Kama kutoa hutoi kwa nini usirudishe vitu vya watu? Kwani hana ndugu wenye uhitaji? Hanna haki isiyo kuwa Na wajibu
Akawape ndugu au ndo ivyo ivyo mnaenda kuhonga Wengine
Mtu weke wazi kaka zetu pulizzzzz!
 
Wanawake ni matapeli wa mioyo ya wanaume sana, utamhudumiaaaa kumbe hakutaki ana bwana mwingine kama mtu humtaki usitake vyake.
 
ee4b05789659043aa89f6fead5825da9.jpg

Zamani Nilikuwa naogopa Sana kupokea zawadi ya aina yoyote kutoka kwa boyfriend kwa kuhofia kudaiwa baada ya mahusiano kwisha, kama[emoji115][emoji115]ivo[emoji23][emoji23]

nakumbuka niliwai kupewa simu, niliiweka tu nyumbani tena kwenye begi la nguo ili icje ikaharibika na Mwisho wa siku tuliachana nikaambiwa CM yangu jumapl uilete nanikairudisha ikiwa mpya

Sasahv nikipewa hela na anko boyfriend Hiyo Hiyo Ntairudisha kwake kwa kumnunulia zawadi
Kulingana na pesa aliyonipa

Kwanini wanaume huwa mnadai zawadi mlizokuwa mnawapa wapenzi wenu jamaniiii
Give my SPERM back!
 
Back
Top Bottom