Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

Mwanaume Wa kweli akitoa huhesabu ni sadaka
Mm nikitoa nahesabu sadaka na siiweki akilini kbs

Hata akishoboka namuaga kwa neno tamu tu

Daima huwa wananikumbuka wanabaki kubung'aa tu na mm akinitema huwa naacha hata mazoea nayatoa
[emoji122][emoji122][emoji111]uko vizur
 
Wanaume wa Kisukuma ndiyo wana tabia hizi,vinginevyo huyo mwanaume atakuwa njaa kali.

Lakini na nyinyi wanawake muache tabia za kuchuna ndiyo maana munadaiwa.
Mkuu naona umekuja kututukana huku

Yaani wasukuma tulivowapole hivo
Hayujui makuu

Tukimdondokea moyo yaani acha tu atafaidi mpaka basi

Huwa tunadai mahali tu kwa sababu ni za jamii lakini kuhonga akaa sisi siyo wachaga hahahah
 
Kama cjampenda mtu cwez kumkubali kabisaaa

Uoga wa kudaiwa ndo unanisumbua

Alafu huwa Naamin kitu cha mtu mwingine cyo changu, ntakitumia kwa umakin kicje kikaharibika
Akili yako INA akili kunywa chochote nakuja kulipa
 
Wanaume wa Kisukuma ndiyo wana tabia hizi,vinginevyo huyo mwanaume atakuwa njaa kali.

Lakini na nyinyi wanawake muache tabia za kuchuna ndiyo maana munadaiwa.
Una utan na wasukuma mkuu?
Ngoja waje
 
Mkuu naona umekuja kututukana huku

Yaani wasukuma tulivowapole hivo
Hayujui makuu

Tukimdondokea moyo yaani acha tu atafaidi mpaka basi

Huwa tunadai mahali tu kwa sababu ni za jamii lakini kuhonga akaa sisi siyo wachaga hahahah
Izo mahari zenyewe Kuna muda mnafidia, unaachana na mke, unarudi ukweni unamchukua mdogo ake hahahahaaaa..
 
Inategemea na mtu na mtu pia mapatano yenu ya awali yalikuwaje ndio maana kuna wanao uza papuchi mnamalizana hapo hapo kwenye mahusiano kudai zawadi ulizo mtunuku mpenzi wako ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume
 
Izo mahari zenyewe Kuna muda mnafidia, unaachana na mke, unarudi ukweni unamchukua mdogo ake hahahahaaaa..
Hiyo siyo sukuma mkuu ni kabila jingine

Mila ya zamani ambyo sasa imepotea ilikuwa unachukua mdogo Wa mke ambaye amefariki dunia ili aendeleza kizazi na kuwatunza watoto wa dada yake kama wake

Mengine uliyosema hapana kwa kweli usukumani
 
Huyu jamaa sijui alikoseaga wapi kila anachofanya ni hola!
 
Hata mikataba ya mikinikia ilipita kwa style hii kufanya mambo bila kuelewa na kusoma likibumbuluka wanajidai kutafuta mchawi wakati wachawi wenyewe ccm bana.
 
Back
Top Bottom