Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,765
Kuwa mwaminifu ndio njia pekeeHabari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.