Tabia ya kuchungulia simu ya mwenza.

Tabia ya kuchungulia simu ya mwenza.

Pundugu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
212
Reaction score
602
Habari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
 
Kwani wewe akiangalia simu yako una shaka gani...?
 
Habari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
Nami ninae mtu Kama huyu. Sijui nini dawa yake
 
Muache kuchepuka! Mmoja kati yenu anachepuka km ni wewe basi jua mwenzako keshapata nyepesi nyepesi kuwa unachepuka so anatafuta ushahidi kamili. Kama huchepuki basi mwenzako anachepuka anafikiri huenda na wewe unachepuka kama yeye.
 
hili mada tuliisha ijadili sana.

kuchunguza simu ya mpenzi wako ni dalili za kutokuaminiana
 
Kuichoka amani tuu, yes namuamini ila sio kiasi cha kupekua simu
 
Nafurahi sana ashika simu yangu japo yakwake sigusi pia namsistizia sitaki tuachane usitafute sababu kwa phone yangu
 
Back
Top Bottom