The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Hahaah, kweli kabisa sauti sijui inatokeaga wapi, ila haipaswi kupuuzwa[emoji23]Aisee me nimejaribu kuacha hako katabia lakini nimefail kabisa.
Huwa nawashwa tu baba naniliu akitoka akaacha simu kuna kasauti kananiambia hebu shika simu uangalie sms [emoji23][emoji23]