Tabia ya jamaa airport kuomba pesa

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Kuna jamaa fulani mara kwa mara wamekua wakiomba pesa kimasihara kumbe wanataka kweli air port pale Dar.

Wanasema ''oya unaenda nje huko hizo chenji za shilling unapeleka wapi ? Tuachie bana " wamekua wakinishangaza sana.

Sijui wadau JF mlishaliona hili.
 
Hujaeleweka fafanua vizuri. Dar Airport ina maeneo makubwa mawili ya kusafiria kuna Terminal One na Terminal Two sasa ni ipi inayohusika na hao waombaji?
 
Hawaombi pesa tu...

Hadi saa wanaomba, mabegi ya mgongoni wanaomba, kapelo wanaomba, pipi wanaomba...

Kuna mmoja huyo aliniomba hadi Head & Shoulders....ile ya travel size:D.

Wanapenda mno kuendekeza dhiki.
 
mimi walishawahi kuniomba wafanya usafi wa kule kwenye vyooo...!

Ni hatari saaana, maaana ukienda kujisaidia tu, utawasikia wakikwambia "...bro, nisaidie basi japo ya chai"
 
Hawaombi pesa tu...

Hadi saa wanaomba, mabegi ya mgongoni wanaomba, kapelo wanaomba, pipi wanaomba...

Kuna mmoja huyo aliniomba hadi Head & Shoulders....ile ya travel size:D.

Wanapenda mno kuendekeza dhiki.
sasa kaka wale nilikua nataka tuungane tuwatafutie tiba maanake wanatuchafua kama nchi :(
 
hii ndiyo The Great TZ....
huu utamaduni upo miaka kadhaa... hulka ya kuombwa ombwa hata na maofisa na baadhi ya vigogo nao huonbaomba kwa styli hiyo!!
(waalimu,wuguzi,watumishi wa idaranina askari nk nk)hizo zao!!!
 
Hujaeleweka fafanua vizuri. Dar Airport ina maeneo makubwa mawili ya kusafiria kuna Terminal One na Terminal Two sasa ni ipi inayohusika na hao waombaji?
elewa alichosema, kasema kwenda nje ina maana ni nje ya nchi, itakuwaje terminal 1 na wewe
 
Sasa wanawajuaje abiria wanaokwenda nje ya nchi wakati hata Terminal two inapitisha abiria wanaokwenda ndani ya nchi kama vile Mwanza, Arusha, Kilimanjaro n.k?
 
ulishawahi ingia ndani ndugu, wanapitishwa, ila departure lounge ya wanaokwenda nje ni tofauti na wanaokwenda mwanza, jro, arusha, na mbeya, ndani ukifika zimetengenishwa
 
Wee unawashangaaaa m nilishaonaa kwamachoo yanguu haooo ombaombaa wanamwombaa Mengii akawapa dollar 1000 wakibadilisha Kwa 1700 endelea kuwashangaa
 
Mlitakawaombe Kiwanja???
wasiombe ombe bana tabia chafu sana nwengine wanakua wamependeza tu na uniform majina ya company zao/kazi zao naweka kapuni sio kama wanadhiki ila wanaonekana wamezoea hivo
 
Yuleee china alietaakununua kampuni ya atcl NA uwanja asimamie alishatoa DOLA 3000 name on a sonagol.. Kwahaoohaooo ombaombaa endelea kuwashangaa wanamalengoo
 
wasiombe ombe bana tabia chafu sana nwengine wanakua wamependeza tu na uniform majina ya company zao/kazi zao naweka kapuni sio kama wanadhiki ila wanaonekana wamezoea hivo
Wekatabiaa safi wawe wanazifwata
 
Back
Top Bottom