Tabia Nane za watu wapole

Safi mi ni mmoja wapo sifa zote zilizokua hapo ninazo kwa Kiingereza tunaitwa Introvert
 
Huyo ni Mpole tapeli au tapeli mpole
 
Watu wapole wengi ni wastaarabu huyo kuna kitu ulimfanyia au ipo siku atakuja kukulipa na kukupa zaidi ya hzo
 
Wengi wao ni wanafiki sana bora siye wenye tabia zetu zhazijulikani mpole si mpole mkorofi si mkorofi mkimya mongeaji kanyaga twende kulingana na mazingira nilipo sasa hao jamaa wanaojifanyaga wanakondoo kumbe rohoni wamejaa roho mabaya hasira kama lile zee la Marekani linahubiri amani ya dunia huku nyuma linawagawia silaha watu wauane mwishowe Kim Jong Un kaamua kulikuna kila siku linabwabwaja tu
 
Mimi ni mpole na mkimya nisiye na maneno kabisaaa... ila:

*Sipendi upuuzi hata kidogo. Sipendi masikhara na nina hasira kiasi kwamba kuna wakati mimi mwenyewe najishangaa.

*Napenda haki na usawa kwa 100% kwa hiyo simuonei mtu, wala sitaki nionewe.

*Sikurupuki, ukinikuta nagombana na mtu ujue kweli kanikosea. Pia katika mambo yangu yote ninayofanya sipendi papara wala kushirikisha watu wenye maneno mengi kama kasuku. Research ndogo ndogo za kutosha ili mambo yaende kwa uhakika.

*Siweki vitu moyoni kama wengi wanatutuhumu sisi wapole. Ukizingua ni on the spot nakuchana (ila sirushi ngumi)
 
Kweli mkuu
 
Kumbukeni kuna upole na ukimya. Dalili Kubwa ya mpole hachikii haraka hata kama ni mwongeaji Sana ILA mkimya haongei lakini nirahisi kumvaa yeyote na hasamehi na walk hamalizi ugomvi
 
Ni wanafiki
Wanapenda hujuma
Hupata Sonona kwa haraka
Madomo zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…