Tabia Nane za watu wapole

Hapana,watu wapole ni kama watu wengine kwa maana nao hutofautiana tabia na si kwamba wote wapo hivyo hivyo hufanana.
 
 
mkuu umehit target
 
Nàogopa kuvuriga Uzi ningeweka na Tabia za madikteta.😀😀😀.
 
Mmmh hii baadhi sio wote..... kupenda chini haijalishi mpole..mapepe..chakaramu..mchangamfu..ni tabia tu ya mtu...
Most of them mkuu...

Umalaya wa kichini chini, yaani wengi wa habari...si anajua yy mpole watu hawashtukii

Chunguza wale wanaokamatwa na wake za watu, tabia zao kitaa kila mtu huwa anashangaa!
 
 
Tena sifa yao kuu ni kufanana tabia!
Unajua watu ambao ukiwaudhi wanakwambia hapo hapo ni wachache na si kwamba et watu wote wacheshi wako hivyo bali ni tabia za baadhi ya watu.

Hivyo na watu wapole pia sio kwamba wote wapo hivyo unavyosema,mie mtu anaweza kuniudhi na nisimwambie na nikamsamehe kabisa bila hata yeye kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…