Tabia Nane za watu wapole

Huyu ni Mimi kabisa.
 
Ni watu makini ndio maana ametapeli fala
 
Wengi mnashindwa kutofautisha kati ya mtu mpole zidi ya mtu mkimya.

Ndio maana wengi wameishia kupigwa matukio na disappointments.
 
Hahaha
 
Mimi mtupu.
Mimi sura yangu TU ukiniangalia unajua TU ni mpole.

Nilikua nauwezo nikimwangalia mtu ananihurumia.... mfano shuleni nilikua nikikosea watu wanaweza chapwa Mimi nikaomba msamaha nikasamehewa.

At least sikuizi upole umepungua pungua.
 
Watu wanawachulia powa,hawajui maji yaliyotuama ndiyo huzamisha jahazi.
 
Watu wapole pia tunaathiriwa na hali za wengine tinapowaona wana maisha yenye changamoto tunaumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…