Tabia Nane za watu wapole

kuna' baazi' ya majina ukimuta mwanaio tegemea atakuwa muongeaji !mie nahis nimeathiriwa na jina aisee ! sema kosa ukosee uolewe na mwanaume wanaeoongea naye uwiiiii kuta zinawaka moto haha km ndege msituni wanavyolia !teh teh

Mungu nae wa ajabu, mcharuko anapewa mpole ili kubalance mambo.
 
Asante Bwai
 
Mnakosea sana mnapoleta dharau kisa mpole,ukiniletea dharau lazima nikuonyeshe kutokubaliana na dharau zako.
 
Sifa yao ni wapole mkuu..
Hahaha sasa hapo huo upole ni upi maana kila sifa mbaya wanazo wao?

Mi naona ndiyo mnarudi kule kule niliposema mie kuwa kuna mkimya na mpole,mkimya anaweza kuwa na misifa yote hiyo ya ajabu ajabu ila ndiyo sio muongeaji sana kwa watu.

Watu wapole huwa tunasifa nzuri na ndiyo maana tukaitwa wapole...hehehe
 
Kuwa mpole haikufanyi kuwa perfect kwamba wewe huna mapungufu kama binaadamu wengine.
 
Kweli, ila umesahau moja. Akiishiwa uvumilivu ni mbaya kuliko simba na si wepesi kusamehe.
Hili naunga mkono!
Akishasema imetosha huwa ni vigumu sana kusamehe na anaweza kufanya kitendo cha kinyama mpaka dunia isiamini au akafanya kimya kimya akabaki na siri yake mpaka anakwenda kaburini!
Usitumie upole wa mtu kumnyanyasa siku akichoka utajutia kujuana naye!
 
Huyo rafiki yako alikua sio mpole ila ni mkimya
 

9. Ni wapigaji Punyeto wazuri sana tu tena kimya kimya kama walivyo wakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…