Tabia Nane za watu wapole

Ujue tabia unazozieleza wewe zipo kwa watu tofauti tofauti hata kwa wasio wapole,si kwamba kila asiye mpole ukimuudhi lazima akwambie.

Mimi siweke kinyongo ila ninauwezo wa kustahmili maudhi hata kama anayenifanyia hivyo ananifanyia kusudi.
 
Naona kila sifa mbaya mnawatupia watu wapole sasa sijui hata mtu mpole sifa yake ni ipi?
 
Watu wengi niliokuwa nafanya nao kazi walikiwa wananiona hvyo hd Mzee anakwambia ningetamani kuwa na mkwe wa hivi, wengine aisee bro Nina mdogo wangu wa kike niko radhi kabisa kukuunganishia, wengi walikuwa hawajui uchafu wangu wao wanaangalia tu hizo Tabia wanazoziona, watu wapole huwa wanaficha sana uchafu wao in reference to me.
 
Najiona mwenyewe kwenye hii!!
 
Tofauti ya upole na unyenyekevu ni nini?
Naombeni mniambie
Kibiblia, Mtu Mpole ni Yule mwenye saburi /Uvumilivu yaani hakurupuki ktk jambo lolote lile ,lkn Unyenyekevu m. y. ni ile hali ya kujikubali kuwa hujui jambo Fulani na kuwa tayari kusahihishwa na pia kutambua karama za wenzio na kuwa tayari kuwaruhusu wenzako kuonyesha karama zao. Kwa ufupi ni kujikubali kwa yale unayoyaweza na pia kwa yale usiyoyaweza kuruhusu wanaoweza wafanye /wakusahihishe.
 


kuna' baazi' ya majina ukimuta mwanaio tegemea atakuwa muongeaji !mie nahis nimeathiriwa na jina aisee ! sema kosa ukosee uolewe na mwanaume wanaeoongea naye uwiiiii kuta zinawaka moto haha km ndege msituni wanavyolia !teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…