Tabia Nane za watu wapole

Sana tu Mkuu..... Nawajua ...ukishika smartphone yake ingia kwenye Chrome type ... www. Afu yenyewe itamalizia www.xvideo.com [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji32][emoji32] wahanga wa mafuriko ya Selfie
Ahaaaa haaaaa haaa

Mkuu umeniacha hoi asee
 
Unaona sasa!???[emoji15] [emoji15] ....yaan we ndo typical mkuu[emoji23] [emoji23]

Hivi Mimi nimekosea huniambii ( na binadamu huwa na tabia ya kurudia kitu,) ntarudia tena huniambii, hivi mi ntajuaje nakosea?

Sasa hiyo ndo tabia yenu mkuu, umeona ulivyosema akikosea humwambii na unamsamehe bila yeye kujua! Haaa haaa...huo sasa sio msamaha mkuu ni unahifadhi vinyongo, siku makosa yamekuwa mengi coz binadamu hafanyi kosa moja, ni mwendo wa multiple mistakes kwa kwenda mbele....sasa basi mlivyo nyie yakijaa kifuani unakumbushia kila kitu na kisasi juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji125] ....hatari sana!
 
Wauaji kweli

Wachawi hapana
Na wachawi ni hao hao mkuu.....huoni wengi wa wachawi ni wanaongoza kwa ibada na kitaa ni wanakuwa hawana maskendo.. Wapole na wakimya kumbe behind the scene ni nuksi

Chini ya jua hakuna siri, wakifichuka kila mtu anahisi anaota!!!

Wee chunguza mara nyingi watu wa matukio ya kutisha kama huwaga ni waruwaru or wapole na wakimya?!
 
Taja na madhaifu yao, maana naona umewaongelea ubora wao tuu..
 
Kabisa yani, na ndo jinsi Magufuli alivyo
 
Mmmh ....mi niko full wewe sibakishi kituu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shida yenu mlio full huwa mnakung'uta kila kitu moyoni na kuhamishia kwa wengine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…