Unaweza sema wazungu hamnazo ila sasa hivi kila sehemu dunia shetani kawakamata watu hii picha sawa na hivi vigodoro vya huku Bongo tuu.Tena huku vigodoro mama anatizama na mtoto mchanga.
Nafikiri ni wajapani huwa kuna siku maalumu ya KUTUKUZA HII KITU, huwa wanatengeneza sanamu kubwa ya hii kitu na kuandamana nazo mitaani. Nafikiri ni utamaduni wao ambao kwetu sisi inaweza kuwa kero / tabia mbaya kweli kama mdau alivyosema