Tabia mbalimbali za watu warefu

Namshukuru Mungu kwa kuniumba mrefu, ningekuwa adunye haki ya nani sijui ningefanyaje. Smart always + mind iko vzuri= LG
 
Wanaume wafupi wanajua kujituma si mchezo, ataku-care, atakupa ma-love ya kufa mtu utahisi uko heaven...I love my kashotii😘
 
Mdau inaonekana we mkali sana kwenye yale mambo yetu.. Dah! Hongera sana. Ila nasikia nyie watu wafupi mna vibamia , vipi unapenda kuongelea nn kihusu hilo?

Ckuiona hi coment nlikua nimelala na wif yako Tall. Hamnaga kitu km hcho hizo story tu mtu wangu, unaposema vibamia cjui unamaanisha udogo kiac gan, sema nayo itakua fupi inch 4 au 5 lkn co km ndo nyembamba saiz ya bamia, lkn km atakua nayo ya inch 6 km mm anauwezo wa kukamua % kubwa ya wanawake wa height mbali mbali ila ni utundu wa mikao ambayo itapunguza length ya vigina na kuhakisha inafika besela. Kitandan ni art believe me, unawezaje kuwatumia wanawake wa aina flani, yaani wanene, wembamba, wenye hips kibwa, warefu au wafupi? Ni elimu pia inahitajika namna ya kuitumia mashine yako. Asee me yangu ni 6inch na napiga km nasonga ugali, anaweza akawa hapendi kuongozana na mm lkn nkimwaambia npo gheto anakuja mwenyewe. Hzo ni story tu za kufirahshana, me nmeshuhudia Ma handsome wakigongewa na sura mbaya, Warefu wanagongewa na wafupi, wenye pesa wanagongewa na masikini, masikini wanagongewa na matajiri inategemea na situation na cc km wanadamu hakuna anaefahamu vzr mahitaji yao ila ni mungu tu. Na km ni kweli lile tunda la mti wa kati alilopewa Adam na mkewe Eva ni ngono kweli, basi Eva atakua aligongwa na shetani na alivoona taam akaenda kumshawishi Adam.
 
Mbona maneno mengi mkuu?
 
Warefu wana~advantage nyingi kubwa ni kutulindia nchi kupitia vikosi vya ulinzi na usalama, wafupi acha warefu watulindie assests zetu
 

Hahahaaa umenikumbusha kitu mkuu dah wanaume wafupi pia ni very complicated mpaka wanaudhi hawajiamin hata kidogo, wivu ndio shida yao kuu
 
Watu warefu hujiamini sana (confidence), huwa wasafi na watanashati, humsoma mtu kwanza na hufanya maamuzi baada ya kufikira kwa kina hatukurupuki hovyo..hizi ni baadhi tu according to me!!!! Wengine wataongezea

its like i know u or we have met before
 
Asante! Unaweza kuwa mrefu af huna pesa unaonekana goi goi. Lkn unaweza ukawa nfupi af upo sharp na unapga pesa, unaishi na watu vzr, co bahili. Hata km mfupi km kistuli, Watu watakuona waukweli, strength na weakness warefu na wafupi wote wanazo

Ukiwa mfupi hata uwe na hela ila watu watukuita kale kafupi,mara kaandunje....bt ukiwa tall raha sana....
 
Kwa kweli hatuna dharau ila wafupi ndo wanajaribu kujenga hoja hii dhaifu pale wanapogundua kwamba tumewazidi kete. Kujiamini yes na hatukurupuki am 6.7ft

mmmmmh.. wewe umemfikia hashim thabeet
 

uuuwiiii.. hahaaaaaa mkuu naomba picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…