Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Habari za mchana watazamaji, washangaaji na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali za majukwaa pendwa ya mtandao wetu bora kabisa wa JamiiForums.
Baada ya salaam hiyo naomba niende moja kwa moja kuwazungumzia watu warefu kwa kimo kwenye suala la tabia zao, haiba pamoja na mitazamo yao kwa watu wanaowazunguka.
Kusudi la thread hii ni kutaka kupata maoni mbalimbali kuhusu tabia za watu hao hasa ukizingatia kuwa wengi tunaishi nao na kufanya kazi na wengine na marafiki zetu.
Nimeamua kuweka uzi huu ili kupata uhakika wa yale yanayosemwa kuhusu watu warefu wa kimo kwamba wengi wao ni watu wenye dharau ila hawana sifa, wanajiamini(they are confident), kwa wanapendwa na akina dada/wanawake na endapo mwanamke/mdada ni mrefu wanaume wanamuhofu.
Je wewe unawaelewaje watu wa aina hii?
NOTE:
Watu warefu wapo wachache sana sio kama wengi wanavyodhani. Na urefu ninaousemea hapa na above 6ft yaani 6+.
Nakaribisha maoni yenu.