Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe,hii kitu inatokana na nini, binafsi nipo medical school namshukuru mungu kwenye alcohol lakini kwenye hao viumbe huniambii kitu, hata nikicheki jamaa walio kazini na wa madarasa ya mbele ni noma,inatokana na nini hii kitu wadau? msaada wa mawazo kuhusu sababu na jinsi ya kujiepusha au kuacha binafsi sijawa addicted kivilee!!!!
Inahitaji moyo manake huku rotation mi nimechoka vumilia hii wodi ya wanawake ni noma,inakuwaje upo wodini kanga moja full chachandu,labda kama padri ndio aweza vumiliapole sana,wengine wanalazimisha kuchungulia nanihii wakati ugonjwa uliokupeleka hosp hauhusiani na nanihiiii.......ni kubadilisha mfumo ktk ubongo wako na kumtanguliza Mungu ktk mienendo yako hakika hofu ya Mungu itakuokoa
ahsante mkuu kwa ushauri wako ingawa hauna mantikiRutashubanyuma jina tu linajieleza endelea ingawa wasema haupo adicted c kweli wewe tayari kabisa
Inahitaji moyo manake huku rotation mi nimechoka vumilia hii wodi ya wanawake ni noma,inakuwaje upo wodini kanga moja full chachandu,labda kama padri ndio aweza vumilia
kivipi mkuu fafanua kama msomi,umetumia criteria zipi kuconclude hivyo....
ushauari wako mkuu unahitajika na sio kuniponda,hata hivyo hii tabia si ya wote ni ya wengi,mi mwenyewe naichukia!!!!
hapo kwenye bold unakubali rohoni kwamba ni nzuri........................🙂
heeee!!!!! We mwana weee!!! Taratibu...... Usije ukatubakia wagonjwa wetu kwa tamaa zako.!!!!
unaona ujinga unaouandika?Inahitaji moyo manake huku rotation mi nimechoka vumilia hii wodi ya wanawake ni noma,inakuwaje upo wodini kanga moja full chachandu,labda kama padri ndio aweza vumilia
kuna wengine walitakiwa wakasomee vitu vingine wakapelekwa medicine. ona huyu natamani hata wamama walio labour! sijui kama tutafika.Hahahahahaha TCU imeleta balaa.
Hivi vitoto ndio vikinyonywa vinakunywa sumu!
kuna wengine walitakiwa wakasomee vitu vingine wakapelekwa medicine. ona huyu natamani hata wamama walio labour! sijui kama tutafika.
ha,ha,haa. jf is never boring. source.....nimemsahau.ila jf bana..! Uskute huyu mtoa mada ni mfanyabiashara wa kariakoo...
ki-ukweli sikuwa na tabia hiyo ila tulipokuwa mwaka wa kwanza kuna lecturer mmoja alitufundisha jinsi ya kumjua bikra,anayehitaji kugegedwa(hot period) na aliyetoa mimba kwa kumuangalia nikajikuta naitumia hiyo nafasi tabia ambayo imenicost licha ya kujitahidi kupiga zoezi la kufa mtu kama wadau wengi wanavyoshauri humu
Inahitaji moyo manake huku rotation mi nimechoka vumilia hii wodi ya wanawake ni noma,inakuwaje upo wodini kanga moja full chachandu,labda kama padri ndio aweza vumilia
Kwani madaktari nao si binadamu kama wengine na ni rijali. Kuhusu kupiga ulabu hiyo ni personal preference ya mtuHivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe,hii kitu inatokana na nini, binafsi nipo medical school namshukuru mungu kwenye alcohol lakini kwenye hao viumbe huniambii kitu, hata nikicheki jamaa walio kazini na wa madarasa ya mbele ni noma,inatokana na nini hii kitu wadau? msaada wa mawazo kuhusu sababu na jinsi ya kujiepusha au kuacha binafsi sijawa addicted kivilee!!!!