TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,303
Hahahah hongera kwa kweli mim siwez Nina aibu sana kiasi kwamba hiyo nyama yenyewe nitachukuwa nikiwa natetemeka
Kuna sehem moja nilienda uswahilin nikakaribishwa msosi wakaniambia niwe wa kwanza kujipakulia ile nimefikia hotpot LA mchuz nakuta kasamaki kamoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ilinibid nipakue mchuz tu
Hapana mkuu,ni kwa wachoyo tu
mkuu huyo kwenye avatar yako sio yule anayejiita king of social network kweli?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ukafanya maangamiz mungu anakuona ujueHapo ndipo wenyeji wetu huwa mnayumba kunanyumba moja nilikaribishwa kwa mbwembwe nikawa nazingua dk yamwisho nikajisemea nisije nikaonekana nimewadharau ngoja niingie basi wakati wakukata ukali nikapewa kisu wa kwanza ile kufunuliwa poti nikakuta kilichomo ndani hakiakisi watu tulio lizunguka hilo poti lakini kiukweli ilibidi wajute tu maana baada ya mimi kukata niliona wengine wakiondoka kuelekea nje
What! Are you serious? Ipo siku ataingia chumbani kwako na mkeo!Mgeni akija kwako MPE Uhuru anavotaka yeye,..ni mgeni ataondoka,lakin ukimdhibiti wewe ndo utaumia
Kwahiyo ukafanya maangamiz mungu anakuona ujue
Shauri yako utakuwa hukaribishwi coz watakuwa wamesha kunoteMkuu sikuzote msiba wa kiranga hauliliwa na wala matanga hautandikiwi, weushajua mmepika kwa kuhesabu vikombe vya maji kabla ya kuweka unga mkaanza kuulizana nani hayupo tutoe maji yake alafu dk ya mwisho unajishaua kunikaribisha lazima utapigwa tu
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au? [emoji16][emoji16]
UMASKINI UNATUFANYA TUKASIRIKE KWA VITU VIDOGO SANA....
yote nachukulia poa isipokuwa matusi
Mpuuzi huyu tutaendelea kuchambua ili tupate mambo yakinifu hatukomi kuja
Big Baba
Halafu vipapatio na mgongo juu wewe lazima nisake paja
Wageni wake walisha mshitukia anaficha vipande vizuri chini, juu anaweka vipapatiro, kwa hiyo namshauri next time alete huyo rosted kuku kwenye sahani kubwa ambapo kila kipande kinaonekana.
Hahaa... yaani vipaja anavichimbia chini kabisa... haha
Hahaha huyu mwenyeji noma aseeh... yaani mapaja anayaficha chini
Unakuta mtu firigisi au paja kalificha mbali kabisa chini ya hotipoti au sahani kubwa, na mimi bila kula hivyo vitu kwenye kuku ni kama sijala, kwa nini nisikitafte hadi nikipate, na kama hakipo nauliza kabisa mbona sioni firigisi???!! Hahaha.
maskini hata mtu akimkanyaga bahati mbaya,analalamika sana eti watu wanadharau sana,utanikanyaga vipi bila maksudi na matusi juu...Umasikini mbaya sana.
Huyu jamaa atakuwa mchoyo. Huwezi kuficha chini vidali na paja kwa kumhofia mgeni!Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au? [emoji16][emoji16]
Apike maharage tu ila si kutulisha vipapatioMkimtembelea mleta uzi nyie mtamuua kwa presha.....