slowly madame lol
Tabia ya kusali
Siwez kuacha kabisa
Kunyonya kidole mi cjui ilitokea automatical jaman kuacha cwez hata uniwekee pili2 ntakinyonya mpk nasahau hata uteme kohoz ntasafisha mpk niridhike kabisa ntakiingiza mdomon ila 2 nimeacha kunyonya mbele za wa2 kuna ambao wananifumaga nackiaga aibu nisaidien woote
Kwenda pekupeku..
Kujiunga JF
kwani unajutia?
kwa maana nikikolea kwenye maombi nasahau kufanya mambo mengine yakiwemo kazi na kula jaman