going good
Member
- Apr 16, 2014
- 8
- 2
Tushirikishane jamani ni tabia gani ambayo katika maisha yako unawaza ni kwa nini ulichukua maamuzi ya kuifanya na kipi kilipelekea ukaianza....
Ukimaliza uni cc
Kunaniiiii....ahh yani nisingeanza kabisaa..
hahahahaha nisaidie kukumbuka basi lol
Kulamba lollipop yaani siwezi acha
Kulamba lollipop yaani siwezi acha
Kulamba lollipop yaani siwezi acha
Kujiunga jf...nikikosa naumwa
kuingia jamii forum
najuta siku ya kwanza kuijua kani kutoka siwezi