Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,590
- 2,434

uko sahihi,ukikosea hizi lazima uwe mteja wa MwamposaNa hizi weaknesses ndio waganga wanawaambia wateja wao wafanye huku wakiwachanja chale za uongo na kuongezea masharti madogo madogo kama leta kuku mweupe na nguo nyekundu![]()
![]()
sure mkuu
sureGood sana
pamojaGood
sure, unapoteza trust kwa wateja.
Au uwawekee TV kabisa masela wa kitaa, hapo imekula kwakoKuna wanaoweka vijiwe vya kubishana mpira dukani..
Na wale ambao chenji hawana kila siku