Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Duuuuh kazi kweli kweli, lakini Free ideas ukweli mwanamke uliyemzungumzia ni yule wa kijijini kabisa enzi za miaka ya 47 lakini siku hizi wapo tofauti kidogo. Mbona wapo wanawake wanaowahonga wanaume sasa hapo inakuwaje??

Wapo wanawake wana kazi zao za maana na wanasukuma mikoko mikali kabisa, nyumba na u msmart mpaka unapagawa unajiuliza nitamuanzaje huyu mtu kama umefall in love??

Kwa hapa labda kama ulitaka kupiga porojo lakini umewaonea dada zang.
 
Last edited by a moderator:
Kasheshee! Wanawake tunanyambuliwa jamanii, karanga
inasubiri.... Cjui kwann yakishawakumba kwa mmoja mnakuja humu kutoa majumuisho kama topic?!!
 
 
Duuuuh kazi kweli kweli, lakini Free ideas ukweli mwanamke uliyemzungumzia ni yule wa kijijini kabisa enzi za miaka ya 47
Katika Philosophy kuna msemo tunasema"Man denkt immer um was für sich erforderlich ist""(samahan kwa hiyo lugha maana najua hujaelewa kwa kuwa hata katiki dictionary haipo)
Kwa hiyo na mimi inawezekana nimejikuna pale panapowasha tu sio mwili mzima!
lakini siku hizi wapo tofauti kidogo. Mbona wapo wanawake wanaowahonga wanaume sasa hapo inakuwaje??
Samaki mmoja akioza unamtoa wengiene unapika,so nimejikuna panapowasha tu.
Wapo wanawake wana kazi zao za maana na wanasukuma mikoko mikali kabisa, nyumba na u msmart mpaka unapagawa unajiuliza nitamuanzaje huyu mtu kama umefall in love??
Ukisema serikali ya ccm ni Mafisadi exceptional wapo lazima lakini kuchambua huja baadae kama mlivofanya.asanteni.
Kwa hapa labda kama ulitaka kupiga porojo lakini umewaonea dada zang.
Hakuna porojo hapo wameelewa sema tu hawawezi kukiri hapa.Na nina imani baadhi watabadilika
 
Last edited by a moderator:
Hamna wangu mbona niko poa tu nimewaamkia vibaya tu.Mnisamehe imebidi tu.Lakini hapo mwisho c nimewapa big up hujaona Iron Lady?

big up hiyo uliyotoa haijafuta ulichoandika huku juu. hata hiyo big up kubeba mimba miezi tisa ni kazi sawa ila hujaweza kuona kazi kubwa ya mwanamke anayoendelea kuifanya duniani ila hiyo ya miezi tisa tu??????????????????????????

kukulea hadi ufike kiburi cha kuandika uliyoyaandika hujaziona hizo tabia njema za mwanamke. labda nikukumbushi japo hutakumbuka.
ulipozaliwa tu ulikuwa unakojoa kila baada ya nusu dakika , na kujinyea (kujisaidia) , na kulialia na kumfanya mama yako akikesha kukunyonyesha kila baada ya nusu saa au lisaa, hukuona tabia njema ya mama yako ya UPENDO WA DHATI,UVUMILIVU,UJASIRI NA KUJITUMA, KUFANYA KAZI KWA BIDII, KUJISHUSHA , KUWAJALI WENGINE KULIKO WAO WENYEWE????????????????????
akakuvumilia kukufulia kukulisha na huku wakati mwingine akiyafanya haya peke yake huku baba yako akimuacha anahangaika usiku na mchana peke yake nina uhakika wakati unazaliwa permpas hazikuwako ilikuwa mwendo wa kanga za kukata au nepi kufua kwa mama yako hadi kuchubua mikono yake si tabia ya kujituma njema unayotakiwa kumuheshimu mwanamke yoyote?
ulipoanza kukua mama yako akiwa na uangalizi wa hali ya juu kukuhangaikia hadi kufikia kujitambua na kukuacha uwe kutongoza mwanamke na wewe usema vijimambo hivyo

mwanamke huyo huyo unayemsema sasa hivi ana majukumu makubwa zaidi ya yale mungu aliyompa kutoka katika biblia ya wakristo. maana sasa anatafuta kwa jasho na kulea familia zenye wanaume pasua kichwa anarudi amechoka aazne kuhangaika kumuandalia baba na kuangalia ya famila kwa ujumla kipi kime kaa sawa.

nyie mnaishia kutafuta kwa jasho (kula kwa jasho) sisi tuna zaa kwa uchungu tunalea kwa shida tunakula kwa jasho na tuna tunza familia.
sema mkuu
 
Asili ya Mwanadam ndo inasema hivyo sio amri zangu Iron Lady.Hata mi naumia sana mnavotuhangaikia tukiwa wadogo.Lakini ukwel lazima sa zingine tuseme.
 
Last edited by a moderator:
wewe ndio ubadilike kwenda kuwatongoza wanawake wasio hadhi yako. inaelekea unatongoza wanawake usio wajua.
wenzio hutongoza wanawake ambao wanawafahamu vizuri sana ndio unaanza kumtongoza huyo wa kwenye simu ukija kukutana nae kimeo duh pole sana mkuu kwa yaliyo kukuta
 
Hao ni wanawake wa tandale kwa mfupa mbwa;
wanawake tunachokiangalia wewe haukijui kabisa.
 
Asili ya Mwanadam ndo inasema hivyo sio amri zangu Iron Lady.Hata mi naumia sana mnavotuhangaikia tukiwa wadogo.Lakini ukwel lazima sa zingine tuseme.

ni sahihi usemavyo mkuu ila namna ulivyoisema ndio inayoletashida. haya mkuu nikutakie asbh nzuri na usiwe unawaamkia vibaya wanawake. wanawake wakiwaamkia vibaya wanume pia itakuwaje maana nyie wanaume mnamaudhi asikwambie mtu.
 
ni sahihi usemavyo mkuu ila namna ulivyoisema ndio inayoletashida. haya mkuu nikutakie asbh nzuri na usiwe unawaamkia vibaya wanawake. wanawake wakiwaamkia vibaya wanume pia itakuwaje maana nyie wanaume mnamaudhi aikwambie mtu.

Sawa mkuu kazi njema na siku njema
 
Hao ni wanawake wa tandale kwa mfupa mbwa;
wanawake tunachokiangalia wewe haukijui kabisa.

Unaweza kuwa sahihi kwamba mnachokiangalia sikijui.Lakini kumbuka kwamba ,""matete hayaegemi utokapo upepo""
 
tabia hizi ulizozitaja ni bias na wewe kutaja sababu hizi utakuwa unalenga mtu fulani.
na katika tabia zote wanawake walizonazo wewe umeona hizi tu.
pole kwa yaliyokukuta.

otherwise this is fallacy of generalization.
Hii ni joke tu, wewe unahangaika kabisa kumjibu tena uko siriazi bwana!
 
wewe ndio ubadilike kwenda kuwatongoza wanawake wasio hadhi yako.
Huwa sitongozi hovyo,niko selective sana mkuu.

inaelekea unatongoza wanawake usio wajua.
Hiyo ni hatari,siwezi fanya hivyo.
wenzio hutongoza wanawake ambao wanawafahamu vizuri sana ndio unaanza kumtongoza huyo wa kwenye simu ukija kukutana nae kimeo duh pole sana mkuu kwa yaliyo kukuta

Ucjali,niko makini lakini kubali ukatae tabia zenu wengi ndo hizo sema najua hamuwezi kukiri hapa.Ila nashukuru kwamba mmenielewa.
 
Ngoja tujipange, tusubiri tunakuja na majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…