Dashdown
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 399
- 432
Huu nao ni mtihaniWanaume mmepanic kweli kupaka mafuta makalioni.
Huu nao ni mtihaniWanaume mmepanic kweli kupaka mafuta makalioni.
Kweli tena maana najiuliza napaka sangapi makalio mafuta sijaona.....Me huwa napaka mafuta baada ya kuvaa nguo, Hilo la makalio we na wenzako ndio mnaweza.
yawe malaini mkuu katako yakiwa yanateleza yanaleta burudani...Kupaka mafuta makalioni haijakaa vizuri.....yaani niyapake mafuta makalio yangu mpaka yawe yanawaka waka..!!!! Ili iweje
bacteria mkuu unatusambazia wenzio tunao kusalimiaRaha ya kuwashwa sehemu za siri tunaijua sisi hasa ujikune ukiwa umetumbukiza mkono nyetini
Hii si bure mleta mada atakuwa amehakiwa account yake.Kwa hiyo wanaume wote mmeigomea namba tisa
Halafu mleta mada ni mwanaume pia
Mkuu je wewe unapaka au ulikuwa unashauri wenzio wapake.Utanashati ni kujipenda binafsi,mwenzio kakuambia anapaka mafuta baada ya kuvaa nguo zote
mkuu nicheki pmmambo Canosa, bado upo kyela ?
haaa haaa haaa utani tu mkuu,tunachangamsha Uzibacteria mkuu unatusambazia wenzio tunao kusalimia
we jamaa ha ha ha ha,/.Kupaka mafuta makalioni haijakaa vizuri.....yaani niyapake mafuta makalio yangu mpaka yawe yanawaka waka..!!!! Ili iweje
Si kweli! Mwili wa binadamu unapokufa unaweza kukaa hadi masaa nane kabla ya kuanza kuharibika!yaani ni hivi mwili wetu wote umetawaliwa na wadudu ndo maana ukifa huchukui sekunde unaanza kunuka so hizo zote ulizo andika ni utumwa wa akili naishi niwezavyo maana hizo haziniongezei miaka
Nawe unapaka mafuta makalio auUmeongea vizuri
sasa boss unataka tako laini ili iweje...ushakaa jela weyeha ha ha sasa ukishavaa nguo mafuta unayapaka wapi