Tabia 10 mbaya ambazo haziendani na urembo na utanashati

yaani ni hivi mwili wetu wote umetawaliwa na wadudu ndo maana ukifa huchukui sekunde unaanza kunuka so hizo zote ulizo andika ni utumwa wa akili naishi niwezavyo maana hizo haziniongezei miaka
Si kweli! Mwili wa binadamu unapokufa unaweza kukaa hadi masaa nane kabla ya kuanza kuharibika!
 
Umeandika vizuri sana ila hapo kwenye kupaka mafuta makalio hizo ni dalili za upunga
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom