Pole sana Mentor....watu wengine sijui wakoje..kuna haja hadithi ndefu kama hizi zako na Mtambuzi pia au MziziMkavuCHAI CHUNGUlara 1 zipigwe water mark kama inawezekana ili watu wasicopy copy hovyo

Mentor unaoa lini? maana uliahidi mwaka jana hautaisha, umeisha na tumeanza mwaka mpya je utaoa lini? muda unazidi kwenda na umri pia unasogea au unataka watoto wako wakuite babu?

Mentor unasema hakuna wa kumuoa? na Yule mliyetokane mgomba mmoja vipi? uliomba ushauri hapa ukaambiwa uendelee bila kujali kaka alioa dada yeka. au na wewe umekata tamaa?