Tabasamu kidogo, moja, mbili tatu

Tabasamu kidogo, moja, mbili tatu

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,197
Reaction score
64,643
attachment.php

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk MakongoroMahanga akimpiga picha Naibu Waziri waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu wakati kikaocha bunge kilipokuwa kikiendelea mjini Dodoma
 

Attachments

  • picha.png
    picha.png
    119.4 KB · Views: 1,730
Kama ilikuwa muda wa kupata staftahi ni sawa kupigana picha, lakini kama ni muda wa kazi(kikao kikiendelea) kwa kweli ni mchemsho wa hali ya juu
 
Haya ndo mambo ya kushindanishwa kwenye maajabu ya dunia sio pigia ngorongoro kura unakatwa na mwisho wa siku hatushindi.

Hii ya mawaziri tunapita kwa ushindi wa kimbunga au ki jkey jkey
 
Tusitegemee maendeleo ktk nchi hii kwa mawaziri kama hawa
 
Anasubiri siku iishe aingize laki 3
 
Lazaro Nyalandu sio naibu waziri tena ni waziri kamili wa maliasili na utalii
 
Tumedhubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele....
ccm oyeeee
 
Back
Top Bottom