RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,861
- 2,754
Hayo ndo makubaliano ya JK na Lowassa... Boys II Men forever ever ...
Alhaj Mohamed Said, hao "masheikh" wamepelekwa(naamini si kwa hiari ya mioyo yao) Dodoma.
Ila kwakweli hilo la masheikh ubwabwa linawatambulisha vema kabisa.
Ije mvua lije jua Rais tunayemtaka ni Edward Ngoyai Lowassa hatuko tayari kuona familia ya Rais unatupangia Rais ajaye hapa patachimbika fanyeni masihara
Kapuya pia yuko behind this....
Mwalimu Julius,
Uko sawa ni Dodoma si Monduli mimi nimekosea niwie radhi.
Hawa mashehe ni wanaccm na wanajua ndani ya chama zamu hii ni ya Wakristo kutoa Rais na wanaelewa kwa mujibu wa urithi walioachiwa na mwalimu ni AMA Rais atoke Katoliki AU Bakwata. Sasa masheikh wa Bagamoyo wameleta UJUMBE na habari njema kuwa Rais aweza toka kwa Waprotestanti na hii ina maana PANA so tafakari badala ya kukejeli tu na kulaumu! Je wangemwendea Pinda au Membe au Slaa mngesemaje? Amka sasa!
Bado ana tuhuma za yule binti, hazijakaa vizuri badoShehe kapuya nae vipi
Mimi nimeipenda picha ya tatu kutoka juu kuja chini. Kuna dada kasimama(na hisi ni mwandishi wa habari) yaani ameshika tama na peni yake mkononi' anawatizama hao masheikh waliokaa na muheshimiwa Lowassa na anawasikitikia sana tena sana!! Naomba na nyinyi wanajamvi muingalie hiyo picha tena na muipe maneno.