Taasisi ya "Usheikh'' na fani ya uigizaji Tanzania

Hapa Ritz, The Big Show na FaizaFoxy hawatii mguu. Leo kwa mara ya kwanza watapingana na Mzee Mohamed Saidi hadharani kwani CCM wanaipenda na hawa masheikh ni mwiko kwao kuwasema au kuwaongelea vibaya.

Leo Mohamed Saidi kazi anayo.

Kweli wewe ni mshikishishwa chuma!!!

Angalia sana wengine vyuma vyetu ni vya moto.

Na vina koki mbele.

Utalowa huku unajiona.

Oooh...
 
TAASISI YA "USHEIKH'' NA FANI YA UIGIZAJI TANZANIA
Written By Mohamed Said on Saturday, March 21, 2015 | 12:14 PM

10942489_893855877341652_2687773226950844526_n.jpg
Masheikh na Maimamu 83 kutoka wilaya nzima ya Bagamoyo wamfuata mhe.lowassa nyumbani kwake dodoma kumshawishi agombee..
LOWASA NI CHAGUO LA MUNGU
SIMAMA NA UHESABIWE

Hii picha nimeipata katika mtandao. Nilipokuwa naitazama kinywa kimenikauka mate. Najiuliza hivi hii taasisi ya usheikh mbona ghafla imekuwa taasisi ya vichekesho? Hawa masheikh wa Bagamoyo wanatoka Bagamoyo ipi? Hawa masheikh wanatoka misikiti au madrasa ipi? Huu usheikh siku hizi imekuwa ya mpata mpatae yaani mtu akivaa kanzu, koti na kofia tayari keshakuwa sheikh?

Sasa wazo jingine likawa linanijia....Tanzania ni mwiko kuchanganya dini na siasa. Sasa vipi tena hawa masheikh wanatoka Bagamoyo hadi Monduli kwenda kufanya siasa? Haya mambo mbona mimi yananikoroga kidogo?

Kweli TANU ya 1950s wakati Tanganyika inadai uhuru kilikuwa chama cha masheikh - Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Mohamed Ramia, Sheikh Yusuf Badi, Sheikh Issa Nasir, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Haidar Mwinyimvua na wengine wengi lakini mbona hawa staili yao ya siasa ilikuwa tofauti na hawa masheikh wa miaka hii?

Hakuna popote kwenye historia inapoonyesha Sheikh Hassan bin Amir alitoka mguu mosi mguu pili kwenda kwa Nyerere kumshawishi...nahema...

Bunge la Katiba kasimama Sheikh anasema yeye usiku kucha hakupata usingizi...kisa nini? Anasema Baba wa Taifa katukanwa ghafla akaanza kuangua kilio...huyu sheikh hivi sasa ni "kadhi," wa BAKWATA kapanda cheo. Alikuwa sheikh wa BAKWATA sasa kaongezwa cheo kingine kawa kadhi wa BAKWATA...

Turudi kwa masheikh wa Bagamoyo...mtu yoyote aliyekaribu na masheikh hasa wa vijijini kama Msoga, Msata, Lugoba, utaona hali zao...taaban hali zao ngumu cha kutia mdomoni wanakitafuta.

Masheikh hawa wa Bagamoyo nikiwaangalia kwenye picha...Mashaallah kanzu zinameremeta na wakapata nauli ya kutoka Bagamoyo hadi Monduli na kurudi na masurufu ya njiani na ya kuacha nyuma nyumbani...

2015%2B-%2B1


Kweli masheikh wa BAKWATA wajanja lakini hawa wa Bagamoyo wamewapiku masheikh wa BAKWATA, hawawawezi hawa... hii ni lligi nyingine kabisa...

Kuna msemo mpya vijana wamekujanao kuna masheikh wanaitwa, "Masheikh Ubwabwa."

Watengenezaji filamu wa Hollywood ni hodari kweli kweli wanaweza kukuwekea kitu kinaitwa "set," wakajenga mji wa Bagamoyo kama ulivyokuwa wakati wa Wajerumani na ukahisi khasa hiki ninachoona sasa hivi kwenye senema ndiyo wakati wenyewe miaka 100 iliyopita...hii ya hawa masheikh wa Bagamoyo nadhani mafundi wa Hollywood wakiiona watalia ngoa.

Hii ni zaidi ya uigizaji wa mtu kuchukua "Oscar." Afrika Kusini unaweza kukodi, "waliaji,'' wakaja "kukulia," kwenye msiba wa mama yako.

Bagamoyo Khalifa wa Tariqa Kadiriyya ni mtoto wa Sheikh Mohamed Ramiya, Sheikh Abdulkadir Ramiyya...sidhani kama Sheikh Abdulkadir ana taarifa ya safari hii ya "murid," wake kwenda Monduli... na hii nasema tu maana huenda hawa, "masheikh,'' si Tarika Kadiriyya...

Piga ua lakini Bagamoyo sheikh gani atakuwa si wa Zawiyya ya Sheikh Mohamed Ramiyya?
Kwa ndugu zetu Wakristo "Zawiya," ni sawasawa na "KIgango."

Sasa kweli Mkristo safi anaweza kutoka nje ya Kigango na akasalimika?
Au siku hizi juu ya kuwa na masheikh kutoka Chuo Cha Sanaa Cha Bagamoyo kuna "masheikh mamluki" kuongeza katika "masheikh ubwabwa?

2015%2B-%2B1


Moh%27dSaid_Ramiya_120912_IMG_1367.jpg



Sheikh Abdikadir bin Sheikh Mohamed Ramiyya
Khalifa wa Tariqa Qadiriyya Bagamoyo


2015%2B-%2B1
excellent article , very very well thought off and articulated
 
Hapa Ritz, The Big Show na FaizaFoxy hawatii mguu. Leo kwa mara ya kwanza watapingana na Mzee Mohamed Saidi hadharani kwani CCM wanaipenda na hawa masheikh ni mwiko kwao kuwasema au kuwaongelea vibaya.

Leo Mohamed Saidi kazi anayo.
intelectual difference ya the two ni kubwa Mno, sawa sawa kufananisha urefu wa mlima Kilimanjaro na urefu wa tone la mate
 
mohamed said acha wivu wa kike,we kama hujipendekezi kwa wakuu wa nchi hii, kama kimya au endelea kucheza bao huko mtaa wa gerezani,mashehe wenzio yao yana enda.inaitwa "akili kumkichwa".chezeya njaa weyeee:lol::lol:
Tuwe na uwezo wa kuchangia vitu vyenye msingi, Kwa maandiko yako sawa sawa na kukaribishwa chakkula halafu ukakitemea mate Mbele ya mwenyeji wako, kama huwezi kuchangia basi kaa kimya. Stupid comment
 
ila jamaa aliye andika uzi huu ameniamsha na kujiuliza maswali mengi kichwani mwangu.kubwa zaidi ni kutaka kujua kama kweli hao masheikh wameenda kwa kofia ya usheikh au kama wafuasi binafsi wa lowassa?kama walienda kwa kofia ya usheikh jumuia wanazo ziongoza zimewabariki kufanya hiyo safari?je sheikh mkuu wa bagamoyo ni miongoni mwao?na kama simiongoni mwao ni kwa nini yeye hakuenda?kwa kweli maswali ni mengi.nakushukuru kuni bumbulua.
nadhani ni rahisi kuchukua ujumbe huu juu juu tatizo hili linaweza likawa ni deep fractional religious politics za huko Bagamoyo kati ya uongozi wa dini katika eneo Hilo, na hata sisi wakristo, kwani hata ule ujumbe wa maaskofu wa katiba licha mimi siuafiki, lakini kitendo cha Cardinal pengo kupinga kinaonyesha factional religious politics za wakristo, especially between waprotestant ambao ni controversial na wengi against dini kam Catholics wanaoamini kuwa ni anointed na urais wa kitanzania ( nyerere na Mkapa walikuwa Catholics) na makanisa mengine traditional, na pia ukiwaangalia front runners wa sasa wa urais ni wakristo ambao siyo catholics. Ukiuchukulia kishabiki una kuwa huelewi kinachoendelea.
 
Kadoda,
Hapana kaka si "wivu wa kike," ni kuhangaisha bongo tu na kufikiri.
Huwezi amini lakini mimi sijui kucheza bao.

Nimejaribu "draft," nayo kila nikikaa nafungwa mie.
Nimeacha.

Hiyo njaa kaka mbona sote ni hivyo hivyo?

Samahani kwa kukusahihisha, lakini ule mchezo unakuwa spelled "draughts" au Marekani wanauita "checkers".
 
Kibafute,
Anthony Quinn alikuwa muigizaji mkubwa katika waigizaji wakubwa wa
Hollywood.

Alicheza filamu moja inaitwa "Lawrence of Arabia."

Siku moja alikutana na Muarabu akamuuliza vipi ameweza kuigiza kama
"watu wake" yaani kama Muarabu kiasi yeye alipata tabu kuamini amuonaye
katika senema ni Mzungu na si Muarabu...


14198-10906.gif

Anthony Quinn
Unajua Waarabu na Wazungu ni jamii moja, ya Caucasians. Ndio maana Marekani ukiwa Mwaarabu unaitwa "mzungu".
 
yule profesa anayemeng'enya vibinti vya watu naye yumo kwenye msafara. anatoka msikiti gani huko Bagamoyo? maana inaonekana kahama kutoka Tabora anakowakilisha jimbo kama mbunge, kafungua msikiti bagamoyo. vibinti vya kikwere vinaye, hadi kwenye msikitini atavilamba tu. chezea profesa weeeee
Alitaka awe jela kwa kubaka, lakini kesi wanabambikiwa akina Babu Seya.
 
Kuwa mkeli ili utatue tatizo.Km unataka balance ili wakristu wasikucheke huku unataka tatua tatizo utaumbuka tuu muda wote.kwani wenzio unadhani wanaona soo?MATAKA ALIWAHI KULA HELA YA HIJA KUPITIA ATC SERIKALI IKAENDA KUWAKOBOA WAISLAM KINYEMELEA BILA TOA SIRI SHILLING NGAPI ZA WANYWA VIROBA ZILIKWENDA WAKOMBOA WAUMINI.SIJUI KM WATATHUBUTU TENA KULAANI KIROBA AU SAFARI LAGER.NAJUA KILA DINI INA ADVENTURE ILA WAISLAM HAMPENDI SANA KUFACE REALITY ,MUD AMWINGI MNAWASNYOOSHEA WENGINE VIDOLE NA KUDHANI MAKOSA YAO YATASAIDIA THIBITISHA KUWA NYIE NDIO MNA DINI YA KWELI.BINADAMU NI BINADAMU TUU ANAHITAJI HURUMA YA MUNGU KUKATIZA FINISHING LIKE SALAMA.

He vipi zimefyatula nini duuh
 
Tuwe na uwezo wa kuchangia vitu vyenye msingi, Kwa maandiko yako sawa sawa na kukaribishwa chakkula halafu ukakitemea mate Mbele ya mwenyeji wako, kama huwezi kuchangia basi kaa kimya. Stupid comment
thread ilikuja hapa tangu 21st March 2015,where were you during all these days if you wanted me to hear tou say so?!.ooh thanks for your late though pointless remark.:welcome:
 
Alitaka awe jela kwa kubaka, lakini kesi wanabambikiwa akina Babu Seya.
Kwao ndio maslahi ya kujiandaa kwenda pepo ya wazinzi..Gansters Paradise.....Hawajui kuwa ndio inawafilisi na kuwafanya wa hovyo kuliko wanavyosingizia kuwa watu wanadharau imani yao,watu wanawachukia asijui wanachukia dini yao.Serikali yao inadhani imefanya chema ila ni kuwaangamiza wenzao.Km wana wasomi wachache halafu wote ni wa hovyo km huyu dajaa na wengine.Ni wazi watakuwa chini hadi mwisho wa dunia.Hawata stahili kukaa ktk kiti cha wastaarabu.
 
hao wanaitwa masheikh ubwabwa , ukiwasachi mfukoni utawakuta kila mmoja na ndizi mbivu !
haha...kipindi nakutana na watu wa hizi tamaduni nilikuwa napata shida kuwaona hawa jamaa ni wa maana km wanavyotukuzwa.Wengi utawakuta vijiweni wanatazama wanawake wakipita na kuanza wajadili kuwalaumu kwamba wanaachia..kupiga kelele mashallah...huku wakiwapongeza mabinti zao ambao wamefunika vichwa na nyuso ila wamebana matako sana na wanatembea huku wameshikilia mgauni mrefu unaoburuza,Kisingizio ni kwamba wanashikilia lisifagie chini ila ndio nafasi ya kuyabana matakao kabisa,Wakati wazee wanawasifia lazima wayaangalie kidogo,mara nyingine wanaongelea ufundi wao wa kugeuzana, hao hao wanajadili jinsi pilau tamu lilivyo lenye futa futa,....baadae kuja angali na kuwajua vyema kumbe zaidi ya nusu ni wapiga ramli,ni wachawi vikongwe wanaotisha watu hadi kupata hizo heshima wazitakazo huku wakiwa na vitabia fulani ambavyo huviacha tuu wanapokaribishwa ktk matukio.
 
haha...kipindi nakutana na watu wa hizi tamaduni nilikuwa napata shida kuwaona hawa jamaa ni wa maana km wanavyotukuzwa.Wengi utawakuta vijiweni wanatazama wanawake wakipita na kuanza wajadili kuwalaumu kwamba wanaachia..kupiga kelele mashallah...huku wakiwapongeza mabinti zao ambao wamefunika vichwa na nyuso ila wamebana matako sana na wanatembea huku wameshikilia mgauni mrefu unaoburuza,Kisingizio ni kwamba wanashikilia lisifagie chini ila ndio nafasi ya kuyabana matakao kabisa,Wakati wazee wanawasifia lazima wayaangalie kidogo,mara nyingine wanaongelea ufundi wao wa kugeuzana, hao hao wanajadili jinsi pilau tamu lilivyo lenye futa futa,....baadae kuja angali na kuwajua vyema kumbe zaidi ya nusu ni wapiga ramli,ni wachawi vikongwe wanaotisha watu hadi kupata hizo heshima wazitakazo huku wakiwa na vitabia fulani ambavyo huviacha tuu wanapokaribishwa ktk matukio.

Kwa hiyo hizo hapo juu ni tabia za Maislamu tu, Maislamu pekee yao, na Maislamu siku zote?
 
NIlizoziona kwa hao wabeba ndizi ktk shughuli.Hembu soma vyema nilichoandika.

We chizi mnywa mbege nini la maana utaandika wewe?
Kila uandikapo ni Uharo mtupu.
Nashangaa bado unapewa nafasi na JF.
 
We chizi mnywa mbege nini la maana utaandika wewe? Kila uandikapo ni Uharo mtupu. Nashangaa bado unapewa nafasi na JF.
Wew ni mpumbavu km yule nyani anayepiga punyeto hadi anakufa au kuzimia.Muda wote unakimbizana na watu na si hoja.Halafu huna hata busara ktk uandikacho.Ni matusi ya kijinga tuu ..wala haya hoja hujui inaongelea nini ,inatoka wapi inakwenda wapi na nini kitu crucial hata km kinauma.HIyo ndio busara ya wabeba ndizi..Mtaishia kuongoza nyumba za ibada kwa kuwa wachawi zaidi, na kujisifu kuwashisha wengine kishipa.
 
Wew ni mpumbavu km yule nyani anayepiga punyeto hadi anakufa au kuzimia.Muda wote unakimbizana na watu na si hoja.Halafu huna hata busara ktk uandikacho.Ni matusi ya kijinga tuu ..wala haya hoja hujui inaongelea nini ,inatoka wapi inakwenda wapi na nini kitu crucial hata km kinauma.HIyo ndio busara ya wabeba ndizi..Mtaishia kuongoza nyumba za ibada kwa kuwa wachawi zaidi, na kujisifu kuwashisha wengine kishipa.

Teh teh teh!
Mlevi kajenga hoja,
JF Kuna kila aina ya kenge!
Aiseee! Duhh
 
Back
Top Bottom