mfumo kristo.....Kwani "usheikh" unatunukiwa na taasisi gani na kwa vigezo vipi?
Labda ili tuwatendee haki, hebu tuwaite watie maoni yao hapa. Jamani akina Ally Kombo, FaizaFoxy, Nonda na Elungata na wanaCCM waisilamu wa humu, njooni huku mchague kukitetea kimojawapo kati ya dini yetu na chama chetu, naona mzee Mohamed Said anamdhalilisha mgombea pekee mwenye nguvu katika chamaHapa Ritz, The Big Show na FaizaFoxy hawatii mguu. Leo kwa mara ya kwanza watapingana na Mzee Mohamed Saidi hadharani kwani CCM wanaipenda na hawa masheikh ni mwiko kwao kuwasema au kuwaongelea vibaya. Leo Mohamed Saidi kazi anayo.
Hapa Ritz, The Big Show na FaizaFoxy hawatii mguu. Leo kwa mara ya kwanza watapingana na Mzee Mohamed Saidi hadharani kwani CCM wanaipenda na hawa masheikh ni mwiko kwao kuwasema au kuwaongelea vibaya.
Leo Mohamed Saidi kazi anayo.
Ije mvua lije jua Rais tunayemtaka ni Edward Ngoyai Lowassa hatuko tayari kuona familia ya Rais unatupangia Rais ajaye hapa patachimbika fanyeni masihara
wewe ni mwl kilaza ndio watoto wetu wanafeli.
.
masheikh wametumia haki yao wakiwa kama raia wengine wameoyesha mtu ambaye wao wanaona anafaa kuwa rais wa Tanzania, iwe wamesukumwa na njaa zao au kitu kingine ila wametimiza kile wanachokiamnini wao. na hawataishia hao masheikh tu,kuna makundi ya watu mengi yatajitokeza kuunga mkono kiongozi wamtakao wao,iwe kwa kupewa kitu kodogo au la
Nafikiria kwa kina. Ingekuwa vipi hao wangekuwa mapadre au maaskofu walio kwenda kwa Lowassa kwa dhamira hiyo hiyo ya kumuomba agombee uongozi. Mzee wangu Mohamed Said angeandika nini hapa jamvini? Nafikiri kwa kina na sipati majibu.
Nafikiria kwa kina. Ingekuwa vipi hao wangekuwa mapadre au maaskofu walio kwenda kwa Lowassa kwa dhamira hiyo hiyo ya kumuomba agombee uongozi. Mzee wangu Mohamed Said angeandika nini hapa jamvini? Nafikiri kwa kina na sipati majibu.
Labda ili tuwatendee haki, hebu tuwaite watie maoni yao hapa. Jamani akina Ally Kombo, FaizaFoxy, Nonda na Elungata na wanaCCM waisilamu wa humu, njooni huku mchague kukitetea kimojawapo kati ya dini yetu na chama chetu, naona mzee Mohamed Said anamdhalilisha mgombea pekee mwenye nguvu katika chama
Punguza kutumika mtoa mada hawa wamekwenda dodoma sio monduli epuka kuwa kondomu ya kisiasa hata wasingekwenda hawa wewe hujui umma unamtaka nani mtaani katika urais?lakini mashetani yanawadanganya kama farao alivyokua na moyo mgumu