gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Nimefuatilia mjadala uliotayarisha na wakina Butikuna akina Polepole nimebaini kwamba kinaweza kusababisha vurugu nchini kwa sababu wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba ili nchi iwe na amani ni lazima wananchi waichague CCM tu.
Vinginevyo kama watachagua chama tofauti na CCM nchi itaingia vitani yaani amani kwao ni CCM tu na yote hii eti kwa sababu chama kama CHADEMA mgombea wake ni Lowassa ambao kwa maoni yao wanaona hafai.
Hivi kweli hii ndio kazi ya hiyo taasisi?