kifutu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 219
- 82
Jaribu kusoma maoni yangu tena!
Amekurupuka tu mkuu, msamehe kachanganyikiwa huyu
Jaribu kusoma maoni yangu tena!
hawa kigoda cha mwalimu si ndo mlikua mnawasifu sana,leo wamekuwa wabaya?,,,kila mtu mnasema mbaya,wariba,lubuva,star tv,itv,cloud etc...
kila mtu akitofautiana na chadema huyo ni mbaya
mbona bado mnaomboleza Msiba! huyu jamaa alikatwa na kamati ya maadili kwa kukosa uadilifu full stop! UKAWA Mkampokea na yupo kwenye kampeni ambayo mnaamini anafanya vizuri ingawa hajafikisha kutembelea hata nusu ya majimbo ya uchaguzi! MAGUFULI TUMAINI LETU..... SIO MDINI! SIO MKABILA! ANACHOJUA NI KUKEMEA NA KUCHAPA KAZI TU!
Achana na hao wazee washahidiwa watoto wao kupewa vyeo wanarudi kuipigania CCM. Mfano warioba mtoto wake wamemvalisha kaa la moto kugombea ubunge KAWE ambako hapiti hata kwa dawa. Nilichogundua hawa wazee wanapigania matumbo yao tu walipoachwa kwenye utawala wa JK alikuwa wanaidiss sana ccm Saa hizi watoto wao wameahidiwa vyeo na kupewa nafasi za ubunge wanaikampenia ccm. Aibu sana kuwa na wazee wa Taifa wasiojitambua huu utawala wa kikoo utaisha lini tukatae watanzania kama walivyokataa Arumeru mashariki
Hivi, kati ya Warioba, Butiku na Lowassa, nani kati yao ambaye hajitambui. Definitely, jibu litakuwa asiye jitambua hapo ni lowassa. Lowassa hana tofauti na kupe aliyemng'ata ng'ombe, ng'ombe akichinjwa kupe hana habari, ng'ombe anachunwa ngozi kupe hana habari, ngozi inaanikwa kupe hana habari, mpaka ngozi ikianza kukauka kupe ndo anashtuka kuwa kumbe ng'ombe kachinjwa.
Ni sawa na lowassa aliambiwa ccm watakukata, akasema hawawezi ccm is ny life na asiyenitaka ccm aondoke yeye, anaambiwa hata huku ulikokimbilia huwezi kuwa rais, anasema watu wanamahaba na yeye. Sasa atakapoona Dr. John Joseph Pombe Magufuli anapigiwa mizinga 21 ndipo atakapogundua kwamba mwenzake kaapishwa
Nasema tu matokeo wengi yatawashangaza.
kweli kabisa! Kweli tupu...
NCCR yapoteza majimbo yote Kigoma.... CCM yarudi kwa kishindo Moshi and Arusha..... ACT chama rasmi cha upinzani Bungeni!
nimefuatilia mjadala uliotayarisha na wakina Butikuna akina Polepole nimebaini kwamba kinaweza kusababisha vurugu nchini kwa sababu wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba ili nchi iwe na amani ni lazima wananchi waichague CCM tu.
Vinginevyo kama watachagua chama tofauti na CCM nchi itaingia vitani yaani amani kwao ni ccm tu,na yote hii eti kwa sababu chama kama chadema mgombea wake ni Lowasa ambao kwa maoni yao wanaona hafai.
Hivi kweli hii ndio kazi ya hiyo taasisi?[/QUOTE
kama kawaida yetu wa Watanzania hii taasisi ni kama mradi wa kuingizia vijisenti ,kuna nyingine inaitwa sijui Twaweza