Jaribu kusoma maoni yangu tena!Angalia usije ukafa wewe kabla yao.

angalia usije ukafa wewe kabla yao.
Kigoda cha mwalimu Nyerere kamwe hakiwezi kubali fisadi aingie ikulu
..
Fisadi ni Lowasa aliyewezeshwa kuwa fisadi na CCM. Kigoda kinaita mdahalo ili kukinusuru CCM yenye kumilikiwa na mafisadi. NI UPUUZI KUTUMIA JINA LA MWL NYERERE kwa sasa CCM ikiwa kwenye siku za mwisho kuhukumiwa na wapiga kura.Kigoda cha mwalimu Nyerere kamwe hakiwezi kubali fisadi aingie ikulu
..
Kwakweli Bavicha ni mzigo zaidi ya Zege...
nimefuatilia mjadala uliotayarisha na wakina Butikuna akina Polepole nimebaini kwamba kinaweza kusababisha vurugu nchini kwa sababu wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba ili nchi iwe na amani ni lazima wananchi waichague CCM tu.
Vinginevyo kama watachagua chama tofauti na CCM nchi itaingia vitani yaani amani kwao ni ccm tu,na yote hii eti kwa sababu chama kama chadema mgombea wake ni Lowasa ambao kwa maoni yao wanaona hafai.
Hivi kweli hii ndio kazi ya hiyo taasisi?
Hivi nani aleyekuambia Nyerere Foundation ndiyo Kogoda cha Mwalimu Nyerere?nimefuatilia mjadala uliotayarisha na wakina Butikuna akina Polepole nimebaini kwamba kinaweza kusababisha vurugu nchini kwa sababu wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba ili nchi iwe na amani ni lazima wananchi waichague CCM tu.
Vinginevyo kama watachagua chama tofauti na CCM nchi itaingia vitani yaani amani kwao ni ccm tu,na yote hii eti kwa sababu chama kama chadema mgombea wake ni Lowasa ambao kwa maoni yao wanaona hafai.
Hivi kweli hii ndio kazi ya hiyo taasisi?
Kwakweli Bavicha ni mzigo zaidi ya Zege...
wanasiasa wengi bongo ni waongo..
nimefuatilia mjadala uliotayarisha na wakina Butikuna akina Polepole nimebaini kwamba kinaweza kusababisha vurugu nchini kwa sababu wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba ili nchi iwe na amani ni lazima wananchi waichague CCM tu.
Vinginevyo kama watachagua chama tofauti na CCM nchi itaingia vitani yaani amani kwao ni ccm tu,na yote hii eti kwa sababu chama kama chadema mgombea wake ni Lowasa ambao kwa maoni yao wanaona hafai.
Hivi kweli hii ndio kazi ya hiyo taasisi?
nimefuatilia mjadala uliotayarisha na wakina Butikuna akina Polepole nimebaini kwamba kinaweza kusababisha vurugu nchini kwa sababu wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba ili nchi iwe na amani ni lazima wananchi waichague CCM tu.
Vinginevyo kama watachagua chama tofauti na CCM nchi itaingia vitani yaani amani kwao ni ccm tu,na yote hii eti kwa sababu chama kama chadema mgombea wake ni Lowasa ambao kwa maoni yao wanaona hafai.
Hivi kweli hii ndio kazi ya hiyo taasisi?
Kingunge ndiye sio mnafiki tu. Hawa hata hawaoni kuwa maoni ya wananchi kupitia tume yao yalionekana na CCM kama wamegushi vile na yakatupwa shimoni. Hawaoni kuwa mchakato mzima wa kupata mgombea uraisi ndani ya chama chao ulikiuka Katiba yao asilimia mia moja. Hawaoni kuwa hiyo ni dhambi kubwa kisiasa na bado wanajaribu kutetea chama hicho ambacho hata kilidiriki kusema wao ni vizee vinavyokaribia kufa! Nawashangaa sana!!