Taasisi kumi za usalama wa taifa zenye nguvu zaidi duniani

Hahahahahaha, cheki sasa.
Mimi kunitoa povu ninyi hamuwezi bwana, mimi mijadala nafanya kila siku nje ya JF na nimezoea.
Natukanwa, nakashifiwa, wengine wanaletaga hadi ubaguzi wa rangi..lakini nimo tuuuuuuh.
Sasa kwa nini huwa "hauwaambukizi" wengine uvumilivu? Bravo! 👏👏👏
 
Sasa kwa nini huwa "hauwaambukizi" wengine uvumilivu? Bravo! 👏👏👏
Jombaa sema ninyi humu huwa hamnielewagi tu, napenda kuleta changamoto ili kufanya nyuzi zichangamke na watu tujifunze. Siyo kwamba nakuwa sijui au nataka kubishana tu, nataka tuangalie pande zote za shilingi na tukomae kimaamuzi. Sasa mabwana wadogo wa humu ndani wakishaamini UVCCM, BAVICHA au USA, RUSSIA wanaona kama hakuna dunia nyingine nje ya hapo. Ukiwaletea changamoto kidogo tu, wanakuita Mrusi wa mtogole, hahahahaha daaah! Nchi hii tuna kazi sanaaa
 
Yap! Taliban siyo kama Al Qaida au ISIS. Taliba ni kama unavyoiona Alshabab na Hizbullah. Wanapambana kurudisha utawala wa taliba pale Afganistan. Kihistoria Taliban walisaidiwa sana na Pakistan kuondoa uvamizi wa Urusi kule Afganistan hadi wakafanikiwa. Tatizo lilikuja pale Marekani ilipoingia bifu na Osama na Taliban wakawa wanamwunga mkono Osama.
 
Sioni sababu ya ISI ya Pakistan kuorodheshwa wakati walishindwa kumjua Osama alipo mpaka USA ilipomfukunyua baada ya kuanzisha operation ya chanjo bado hapohapo walitingishwa na Taliban ya Mula Omary mpaka USA ikaja kuwasaidia
Walikuwa wanashirikiana na Osama kumficha hawakuwa na nia ya dhati juu ya kumtafta
 
Kwani ubora wa taasisi ya usalama una pimwaje? Si jinsi inavo pambana na matukuo ya kiharifu... sasa na bongo matukuo ya kiharifu yametokea mangap? Ben ssanane alikua ana tumiwa message za vitisho tayar unapo pa kuanzia lakini wao awaja pata kitu... lissu walitoa cctv camera tayari unapo pa kuanzia lakini mpaka leo akuna kitu.... naisi la kwetu ndo bovu kuliko taasisi zote pengine
Trust me, iko vizuri kuliko unavyodhani.
 
Kwani ubora wa taasisi ya usalama una pimwaje? Si jinsi inavo pambana na matukuo ya kiharifu... sasa na bongo matukuo ya kiharifu yametokea mangap? Ben ssanane alikua ana tumiwa message za vitisho tayar unapo pa kuanzia lakini wao awaja pata kitu... lissu walitoa cctv camera tayari unapo pa kuanzia lakini mpaka leo akuna kitu.... naisi la kwetu ndo bovu kuliko taasisi zote pengine

Umetaja matukio mawili katika nchi ya watu milioni 50.

Intelligence organization inapimwa ubora kwa jinsi inavyokusanya taarifa in quality and quantity.

Hiyo list imetaja ISI ya Pakistani ila kila kukicha kuna matukio ya kigaidi yanatokea. Ujiulize inakuaje pamoja na ugaidi uliokithiri Pakistani ila ISI is the best.
 
Back
Top Bottom