coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 2,919
- 1,968
Opereation ya anzuan vipi?Tanzania TISS hajaiwai Fanya operation yoyote ila JWTZ ndo imefanya na operation ya mwisho ni operation Tumbili
Over!
Opereation ya anzuan vipi?Tanzania TISS hajaiwai Fanya operation yoyote ila JWTZ ndo imefanya na operation ya mwisho ni operation Tumbili
Over!
Umetaja matukio mawili katika nchi ya watu milioni 50.
Intelligence organization inapimwa ubora kwa jinsi inavyokusanya taarifa in quality and quantity.
Hiyo list imetaja ISI ya Pakistani ila kila kukicha kuna matukio ya kigaidi yanatokea. Ujiulize inakuaje pamoja na ugaidi uliokithiri Pakistani ila ISI is the best.
Opereation ya anzuan vipi?
Umetaja matukio mawili katika nchi ya watu milioni 50.
Intelligence organization inapimwa ubora kwa jinsi inavyokusanya taarifa in quality and quantity.
Hiyo list imetaja ISI ya Pakistani ila kila kukicha kuna matukio ya kigaidi yanatokea. Ujiulize inakuaje pamoja na ugaidi uliokithiri Pakistani ila ISI is the best.
ha ha ha ila Scotland yard kwenye post moterm ni shida....Bila kuiweka ScOTLAND YARD hii list ni batili wallah nakwambia
Sio kukusanya taarifa tu pia kushauri na kushighulikia wale wote wanaotishia amani na uchumi wa nchi. Kwa matukio ya ufisadi yaliyotikisa hii nchi ni kama vile hatuna taasisi ya kishushushu ya kushauri viongozi wetu.
imeshindwa kutupatia watu wasio vichaa,ipo vizuri kulinda kikundi kimoja tu kilichoasisiwa 1977,ambacho kimekua kansa kwa maisha ya Wa TZ.najuta kuwa Mtangazania.TISS iko vizuri pia
Nimeipenda hiyo!Umesahau na CDMIA (Chadema Intelligence Agency) walitikisa sana miaka ya nyuma kabla ya 2015.
Kama iko vizuri basi tayari napata majibu kuwa matukio ya kiuhalifu hapa nchini yanafanywa na TISS yenyewe.Trust me, iko vizuri kuliko unavyodhani.
TCC ni chombo cha Chama,katika vikao vyote vya maamuzi vigumu vya chama TCC huitwa kuja kulainisha mambo,huko huitwa KITENGO,nafasi ama fursa hii adhimu hua haipatikani kwa vyama vingine,vyama hivyo huachwa vijifie ama vijifufue vyenyewe huku TCC ikishuhudia,huku kwenye chama pendwa TCChusaidia, kushauri, maelekezo na ulinzi kwenye maswala tata ya uteuzi na chaguzi kwa chama pendwa tu.Wapii TISS
Umeshajaribu angalau kidogo kufatila matendo ya ISI ya Pakistan ndugu! unadhani imejiweka hapo yenyewe!Pakistan ingeondolewa hapo na mahali pake pakachuliwa hata na wanausalama wa Cuba
TCC haitupendi kabisa sisi Watangazania ,haitambui kama hatuna raha kabisa maishani.Where is TISS now??
Veve takua daganya!!
Hata mimi nashangaaha ha ha ila Scotland yard kwenye post moterm ni shida....
wale jamaaa ni wababe wa DNA nomaaaaa sanaaa...nashangaaa et sijaiona..
Santeeeee sana mkuu,hebu tupe uhondo kidogo wa operation Tumbili nasi tuisifie nchi yetuTanzania TISS hajaiwai Fanya operation yoyote ila JWTZ ndo imefanya na operation ya mwisho ni operation Tumbili
Over!
Walijua na walimtunzaSioni sababu ya ISI ya Pakistan kuorodheshwa wakati walishindwa kumjua Osama alipo mpaka USA ilipomfukunyua baada ya kuanzisha operation ya chanjo bado hapohapo walitingishwa na Taliban ya Mula Omary mpaka USA ikaja kuwasaidia