Faru Jenny
Senior Member
- Dec 29, 2016
- 101
- 71
Wakuu naomba kupata mawazo na ufahamu wenu kuhusu hizi taasisi za kifedha ambazo hutoa mkopo kwa watumishi wa umma kwa utaratibu wa kuwataka wateja wao kuacha ATM cards ili wao wajichukulie fedha zao wenyewe kila mwezi hadi makato yaishe.Je?Serikali inatambua huu utaratibu unaotumiwa na Taasisi hizi?