Tangia kuvuliwa vyeo vyote ndani ya Chama na kupewa siku 14 kwa Mh Zitto Kabwe na mwenzake Dr Kitila Mkumbo kueleza kwa maandishi ni kwanini wasifutwe Uwanachama, maneno mengi sana yamezungumzwa.
Wapo waliosema Chadema sasa ndio mwisho wake huu.wengine walithubutu hata kusema kuwa Chadema kinakufa hivi karibuni.
Leo ktk mkutano wao na waandishi wa habari,Dr Kitila Mkumbo pamoja na kukiri kushiriki kuuandaa Waraka ule wa siri lakini pia amekiri kuwa CHADEMA "HAKITAKUFA" ZAIDI SANA NDIO SASA KITAZIDI KUIMARIKA.
Hili ndilo tulilotarajia baada ya Mamluki Kuondolewa,kwamba Cdm ndio sasa kitakuwa Imara zaidi na zaidi. Je Dr Kitila Mkumbo hakulijua hili mapema!?