Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 760
Yuko kwenye mhimili uliojikita Zaidi kuliko mihimili mingine, kituo cha luninga kitakacho tangaza njaa kitafungiwa na kunywng'anywa leseni.
Mkuu usinitie majaribuni, ukoo wote unategemea kibarua changu.Madam ivi zika vile vimelea vipi kuna harufu au ulikuwa uzushi wa yule mtu kama tulivoaminishwa
Kwa kawaida majanga yanapotokea wapo wanaofurahia na wengine kuhuzunika. Wapinzani katika hili la njaa ya ukame mnalitumia kisiasa zaidi kwa malengo yenu binafsi
Hivi wewe kichwani umejaza ubongo au usaa?! Ukubwa ni jalala, njaa, ukame, tetemeko, maradhi ya mlipuko, kama kuvamiwa yote ni msalaba wa kiongozi mkuu! Lazima aambiwe na kupewa taarifa kwa njia yoyote ile ili achukue hatua, ndio maana tulimchagua! Mficha maradhi kilio humfichua! Maisha ya wananchi, Watanzania masikini anaojinasibu kuwatetea kila siku yako kitanzini rais lazima aambiwe, ndio wajibu wake wa msingi, kulinda na kuwatetea watanzania katika hali kama hiyo. Wacha ukasuku, wacha umbumbumbu!Hizi taarifa za njaa hata kama ni kweli wewe zinakunufaisha nini. Kama una hio taarifa basi chukua hatua binafsi na sio kuichukulia kisiasa kama unavyofanya. Magufuli yupo mpaka 2025 ije mvua lile jua. Tatuta eneo kalime! Hao wafugaji wakiuza Ng'ombe watano tu wanauwezo wa kuchimba kisima na kuweka solar wanapata maji mwaka mzima kunywesha mifugo
Kwani wamesema huu ndio mwaka pekee wa ukame?Tanzania ina njaa tangu enzi za mababu, tajeni ni mwaka gani ulikuwa na neema zaidi, kama Arusha mifugo inakufa kwa ukame kila mwaka sasa sijui mwaka huu nini kipya????
Mkuu usinitie majaribuni, ukoo wote unategemea kibarua changu.
hivi zika kwani bado ipo. nauliza tu.
teh teh teh teh. nishawazoea. hata hili litapita tutasahau watasubili tukio lingine ili wapate cha kusema.siri za ndani ole wako uvujishe
Baada ya ukame nini kinafuata?Huo ni ukame sio njaaa
Hawa wanalipwa kutetea kila kitu achana nao.Baada ya ukame nini kinafuata?
Tunasimangwa kama taifamm nnawasomeshea watoto wenu bure,nawajengea barabara,nawaletea maji niwape na chakula?.Maneno haya kwangu ni tata! HV ni msaada au kodi zetu!?
teh teh teh teh. nishawazoea. hata hili litapita tutasahau watasubili tukio lingine ili wapate cha kusema.
kuna tofauti kubwa kati ya njaa na ukame.
usipopika haimaanishi kwamba hutokula
Muda ndio kiboko yenuMsipotoshe watu hata sisi vijijini mifugo wanakufa ni kweli lakini si mwaka huu tu hili jambo hujitokeza kila mwaka haswa ikifika kipindi cha mifugo kubadilisha majani yaani kutoka majani makavu ya kiangazi kwenda majani mabichi ya masika
Sasa isiwe habari kwamba eti ni kwasababu ya njaa huo ni unafiki msimdanganye rais
Taarifa mnazozitoa kwenye vyombo vya habari vina lengo la kupotosha ihalisia wa mambo ili matajili wanaowatuma wajinufaishe kibiashara kupitia misamaha ya kodi wezi wakubwa nyie
Kamati za maafa zipo mpaka ngazi ya kijiji wao wanawajibika kutoa taarifa kwa ngazi ya wilaya ili uchunguzi ufanyike kujua mahiyaji
Hatuwezi kutumia wandishi wa habari makanjanja kupotosha umma kwa maslahi ya wafanya biashashara
Huna lolote ungejua mi sina chama kwa taarifa yako ila nimeona hii habari mnaipa Promo sana kuliko uhalisiaMuda ndio kiboko yenu