Ndio Mida mzuri kwa serikali kuichukua kabisa NA kuibadili itumie gas
Kuitaifisha mitambo ambayo sio Yetu ni dhambi na tujiandae kushtakiwa
Wadau
Kuna taarifa zipo kwamba IPTL wamezima mitambo yao ya kuzalisha umeme na kusababisha umeme kutokuwepo katika mikoa mbalimbali Tanzania.
Hii inatokana na mwekezaji huyo kufanya maamuzi ya kuondoa mitambo yake na kuipeleka Burundi
IPTL wanatoa 75% ya umeme wa Dar es Salaam

upotoshaji sio mzuri .....mtu hata facts za umeme unazalishwaje na unasambazwaje huna, ila unakuja hapa na kusambaza sumu zako .... so sad!!!
Kuitaifisha mitambo ambayo sio Yetu ni dhambi na tujiandae kushtakiwa
Ha! ha! Singasinga = Jakaya KikweteNdio Mida mzuri kwa serikali kuichukua kabisa NA kuibadili itumie gas