Taarifa ya TANESCO: Katizo la Umeme Ilala

Taarifa ya TANESCO: Katizo la Umeme Ilala

upotoshaji sio mzuri .....mtu hata facts za umeme unazalishwaje na unasambazwaje huna, ila unakuja hapa na kusambaza sumu zako .... so sad!!!

inawezekana pia kundi linalomsapoti muhongo na singasinga wakatumia mbinu nyingi ikiwemo mgao mkali ili kujaribu kuuaminisha umma kua wanafanyiwa hila kumbe wao ndo wanalifanyia taifa hila
 
Nyerere alitaifisha majumba, mabenki, mahospitali, mashule, nk. tena vya wazungu na wakakimbia tena hawakutuibia kitu kesi ziko wapi? akili za kushikwa bhana!

Haka ka inchi kanaomba omba kila kona ndio maana kananyenyekea kila nchi
 
Watanzania tumpigie magoti kalasinga sethi asizime mitambo yake.
 
Wadau
Kuna taarifa zipo kwamba IPTL wamezima mitambo yao ya kuzalisha umeme na kusababisha umeme kutokuwepo katika mikoa mbalimbali Tanzania.

Hii inatokana na mwekezaji huyo kufanya maamuzi ya kuondoa mitambo yake na kuipeleka Burundi
IPTL wanatoa 75% ya umeme wa Dar es Salaam

Acheni uongo hii inapunguza credibility ya jamii forums....si kweli kuna kampuni inayotegemewa kwa 75% kwa jiji la dsm...hawa jamaa wanalipwa pesa mashine ikiwaka au ikiwa imezimwa..unafikiri kuna kuondoka hapo.
 
Haka ka inchi kanaomba omba kila kona ndio maana kananyenyekea kila nchi

Hatuna sababu hata moja ya kuomba omba hilo ni gem chafu tu la mijizi ili ipate pa kuficha mirungula yao; Nyerere alitoa huduma zote bure na kukomboa bara zima la Afrika kwa kipato cha pamba na katani sembuse leo hii na utajiri wote tuwe ombaomba! Tafakari
 
Nyerere alitaifisha majumba, mabenki, mahospitali, mashule, nk. tena vya wazungu na wakakimbia tena hawakutuibia kitu kesi ziko wapi? akili za kushikwa bhana!

Nyerere aliiba tu . Kutaifisha ni kubadili neno sahihi ule ulikuwa wizi ujambazi na unyanganyi.
Miaka ya sasa mikataba hii inalindwa na sheria za kimataifa ukitaifisha watakushtaki na utalipa maradufu.
Wacheni hizo mentality za kijambazi za unyanganyi.
Faida gani mswahili kapata kutaifishwa mashamba ? Na mabenki na insurance ? Si laana tu imetupata na mwisho tumekula matapishi yetu tumewaita na kuwapa tena mabanki na mashamba.
 
Huyu seth ashukuru wabongo ni maamuma...angeshamalizwa siku nyingi...fisadi sio mtu wa kumchekea
 
Hivi bado Huyo Singasinga yupo nchini!!
Muhongo aondoke na Singasinga wake wataendelea kuhujumu hii nchi kwa sababu wote ni majambazi.Wako tayari kufanya chochote iki kujipatia mabilioni.
 
Wadau
Kuna taarifa zipo kwamba IPTL wamezima mitambo yao ya kuzalisha umeme na kusababisha umeme kutokuwepo katika mikoa mbalimbali Tanzania.

Hii inatokana na mwekezaji huyo kufanya maamuzi ya kuondoa mitambo yake na kuipeleka Burundi
IPTL wanatoa 75% ya umeme wa Dar es Salaam
Ana mitambo kweli huyo "mwekezaji"? Tuliambiwa aliinunua kwa forged documents!
 
Wadau
Kuna taarifa zipo kwamba IPTL wamezima mitambo yao ya kuzalisha umeme na kusababisha umeme kutokuwepo katika mikoa mbalimbali Tanzania.

Hii inatokana na mwekezaji huyo kufanya maamuzi ya kuondoa mitambo yake na kuipeleka Burundi
IPTL wanatoa 75% ya umeme wa Dar es Salaam

Kwa huyu mwizi bora azime tu mshenzi sana huyo habinder katuibia sana!
 
Makalio kabisa hawa wamekata tena....

Hii ndio mpaka kesho sijui
 
Je, pamoja na kuzima mitambo yao, watalipwa "Capacity Charge"?
 
umerudi ukaatika tena huu si uchizi
u,eme hamna siku mbili hii nchi inaendeshwa na nani

HIVI ANAELEWA GIASHARA ZA WATU ZINAVYO DORORA
uuu si usssss....ng

serikali hamlioni hili siku mbili umeme hamna unakuja unakaa 30 min

useeen...gguuu m,,,ani.n
 
Akiweza kufanya hivyo ntawashangaa sana jamaa zangu
 
Back
Top Bottom