Goba, Mbezi Temboni, Msuguri kote hakuna umeme wala taarifa
Afisa uhusiano naona ana hugover ya pesa za escrow.mkoa wa ilala hakuna kurasini,chang'ombe wala kigamboni,
iptl sio baba wala mama yetu,hata hivyo wakizima ndio tutapata akili yetu na mbinu zetu wenyewe!Wadau
kuna taarifa zipo kwamba iptl wamezima mitambo yao ya Kuzalisha umeme na kusababisha umeme kutokuwepo katika mikoa mbalimbali Tanzania.
Hii inatokana na mwekezaji huyo kufanya maamuzi ya kuondoa mitambo yake na kuipeleka Burundi
IPTL wanatoa 75% ya umeme Wa dar es salaam
Wadau