Wadau, jana kulikuwa na mbwembwe nyingi sana eti waandishi wa habari waliitwa kwenda makao makuu ya CHADEMA kwenda kusikiliza tamko la Sekretarieti ya CHADEMA.
Katika fuatilia yangu kwenye vyombo vya habari, yaani channel zote za taarifa ya habari jana usiku sikuona tamko lolote, leo pia katika kusikiliza magazeti RFA asubuhi hii pia sijasikia kabisa tamko hilo. Je waandishi wa habari hawakupewa posho ya kutoa habari kama walivyozoweshwa na CCM?
Naomba kuwasilisha!