Salam wana JF..
Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi..
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Amen..
Pole sana,
Poleni wote mlioguswa na msiba wa baba mzazi wa mwana jf mwenzetu,
Pole mno.
Uko mkoa gani kwani?
Pole mkuu,MWENYEZI MUNGU awapatie moyo wa subira na uvumilivu.
Salam wana JF..
Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi..
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Amen..
'ungeacha japo namba ya simu kama mtu angependa kutoa rambirambi aweze kutoa mkuu sio kila mtu anasema pole tu MUNGU hivi MUNGU hivi haisaidii hiyo mtu keshakufa keshakufa toeni rambirambi sio...'
Pole sana mkuu.
Amen.. Ubarikiwe Iron Lady
Pole sana mkuu mwenyezi Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Pole sana mkuu!Mungu akupe wepesi wakati huu mgumu.
Salam wana JF..
Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi..
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Amen..
Pole sana mkuu... Mwenyezi Mungu akutie nguvu!!!!
Pole sana mkuu
Pole sana bredda,pamoja massiv...