Taarifa ya kupotea kwa ndugu Fakhru Issa Abeid (maarufu Osama)

hv kwa hali ya kawaida wanakuja watu kazini kwangu, siwajui hawanijui wananiambia twende tukaongee, na mimi nawafuata tu hivi hivi? Mytake wanajuana na alipopelekwa anapajua, sema tatizo linabaki kwa nyinyi ndugu na jamaa ambao hakuwashilikisha
Watu wanavyopenda madili ya bure bure acha mtu, wewe muulize tu mtu flani unamfahamu utaona anavyo changamka hapo anataka kuwa middleman anajua kuna dili tayari.
 
THE BADDEST,

Ndio maana mnauwa Albino na vikongwe kwa kuwa na fikra potofu kama hizi, na nyinyi ndio mnaoowa au kuolewa na watu ambao sio sahihi kwa kuwaangalia muonekano wao tu, pia watu kama nyinyi ndio mnaolizwa mjini, Angalia tabia na matendo ya mtu na sio sura.

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mtu mzima kwenda sehemu kwa hiyari ndo amepotea? Ama unaogopa kusema ametekwa?

Kama hajaenda kule Msumbiji kwa hiyari yake, lazima wamemchukuwa wanausalama. Pia hayo maeneo aliyopo ni hatari Shi kwa ugaidi. Nadhani ile miili yenye viroba labda walikuwa ni ndugu wa hao wanaoenda Msumbiji, kwahiyo ni lazima mutoe taarifa haraka la sivyo mtakutwa kwenye viroba kwasababu mtaambiwa mnashirikiana.
 
Ukiona hakuna hata fununu alipo ujue kachukuliwa na serikali. Maana watu wa serikali wakikufungia kwenye chamber zao za siri kujulikana ulipo inakuwa ngumu sana.
 
Alikuwa mzima. Inavyosemekana na mtoa taarifa kuna watu walikuja kumchukua katika eneo lake la kazi (Petrol Station), tangu hapo hakuonekana tena
Petrol station hakuna camera?
Uzoefu wangu unaonesha fbi huwa wanawapandia ndege watu wenye midevu kama hao na wavaa vikanzu vifupi,atarudi tu huyo,ghafla atazuka hapo hapo tulieni
 
Nashukuru sana kwa wote mlio guswa na tatizo langu kiujumla siku nilizo Ishi katika tabu hiyo sikujua usiku wala mchana niliishi katika wakati mgumu watesi wangu walikuwa ni wema sana hawakuwahi kunijeruhi wala kupiga popote juu ya mwili wangu'

Maisha ya kutekwa kiukweli ni Magumu sana' lakini tunahitaji uvumilivu na utulivu mkubwa katika wakati huo unapo kutana nao'

Katika nchi zetu hizi nina Imani hakuna alie salama endapo utaamka salama na kurejea salama basi shukuru sana Mungu huenda ukajiona mjanja kwa leo ila kumbuka Kesho yako huwezi Jua itakuwa ngumu kiasi gani'

Nikweli katika kambi za maficho kuna wanaopigwa na kuvunjwa vunjwa viungo vyao kuna ambao wanapoteza maisha kwa kukosa matibabu
Lakini yote haya ni matunda ya UHURU
 
Nikweli wewe ndie uliye tekwa...??
Na kwanini unahisi walikuteka...??
Na kwanini waliamua kukuachia..??
Walikuambia nini kabla na baada ya kutekwa...??
Walikuteka kwa muda wa siku ngapi..??
Walio kuteka ni akina nani/unahisi ni watu gani...??
 
Back
Top Bottom