Taarifa ya Kiintelijensia...Nesi huyu na Mgonjwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya Kiintelijensia...Nesi huyu na Mgonjwa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PakaJimmy, Jan 11, 2011.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Juzi nilitembelea Hospitali moja kubwa Nyanda za juu kusini Mkoani Iringa, inaitwa ILEMBULA, inayomilikiwa na Madhehebu ya Kilutheri.

  Katika maongezi na jamaa zangu nilionyeshwa nesi mmoja ambaye niliambiwa kuwa ana skendo ya aina yake kwenye jumuia hiyo!
  Niliambiwa kuwa nesi huyo ana tabia iliyokubuhu ya kufanya mapenzi na wagonjwa wa jinsia ya kiume.

  Nilisimuliwa kuwa kuna mgonjwa aliyekuwa amevunjika mguu na hivyo kutundikiwa mawe ya kilo kadha, wenyewe wanaita traction, na kawaida wagonjwa hao hukaa hospitali kwa muda mrefu.
  Nesi huyo bila ajizi aliingia mahusiano na mgonjwa huyo, na akafikia hatua ya kuomba apangiwe zamu za usiku.
  Lakini cha ajabu kabisa ni kuwa nesi huyo inasemekana kuwa akiwa zamu za usiku anasukuma kitanda cha mgonjwa huyo kwa madai ya kwenda kumwogesha, lakini badala yake anamwingiza katika chumba fulani ambako anacontrol zoezi zima la kufanya penzi na mgonjwa huyo!, na hatimaye kumrudisha eneo lake baada ya makasheshe...:party:!

  Nauliza kwa watu wa tasnia ya afya, je mgonjwa wetu huyu anapata athari za namna gani, na kama anatibika kisaikolojia kwa tendo hilo naomba mnijuze.

  Tasnia ya MMU, mnalisemeaje hili?
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye nyekundu una kesi ya kujibu....!!
  back to the topic, nadhani huyo mgonjwa atachelewa kupona huo mguu, c unajua shughuli ya majamboz si ya kitoto atii....yaani mguu ukiunga leo kesho unaachia,,,,,!!
   
 3. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa... huyu Nesi anafaa sana tena alitakiwa apewe pongezi...

  Anawasaidia wagonjwa. Kawaida wanaume wengine wakikosa ile kitu wanakuwa frustrated sana, sasa anafanya kazi ya maana sana ya kuwaondolea hayo ma frustrations.

  Big Up nesi
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I will be back.........huyo nesi ameolewa? mgonjwa ameoa? mgonjwa ameshtaki? alipiga kelele muda wa vutuzi?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
   
 6. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atapona haraka kuliko kawaida...

  Any Doctor in da haus pls
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Darlingtone!
  Unatisha...!
  Kwahiyo unataka kusema hii ni tiba mbadala?
   
 8. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,014
  Likes Received: 1,822
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahaha Baada ya kuisoma hii habari imenibidi nimpigie simu Nurse mmoja yupo pale amenitajia hadi jia la huyo Nurse anaetembea na Wagonjwa. Details zaidi ameniambia atanipa baadae. Naifahamu vizuri sana hii hospitali nilishawahi kufanyia intern pale
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Kwa mujibu wa wasimuliaji ni kwamba regardless ya kawa wahusika hawa wameoa au kuolewa, wote wawili wametoa ridhaa kwa jambo hilo...
  Ni kwamba mgonjwa amekaa hospitali kwa muda mrefu sana na imefikia wakati hata familia yake wanamtembelea kwa mbinde sana, kwahiyo huyo nesi amejitolea kutoa huduma ya ziada kwa mgonjwa!
   
 10. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana wagonjwa wanapona lakini hawataki kuondoka hosp kwa sababu watakosa hiyo huduma, ndio maana wenzie wanamuonea wivu...

  Kuna mwana JF mmoja alishawahi kukiri kwamba alipewa huduma kama hizi MOI na alipotoka alirudi kupeleka zawadi ya Cheni ya Dhahabu... labda aje afafanue kuhusu duration ya matibabu yake ukilinganisha na wale wanaokosa huduma hii
   
 11. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasaidia sana... Inamfanya mgonjwa apone haraka..

  Actually ninge-recommend pale MOI waweke huduma kama hizi (kwa anayehitaji)... Just imagine kulala for 3 months umetundika miguu juu na kila asubuhi majogoo yanawika, wakipita manesi na vinguo nyao (mind u manesi wengi wamejaaliwa al-baatar), majogoo yanawika tena, wakija relatives sijui wachumba, mashemeji wamevaa vitopu majogoo yanawika tena, hv huyu mgonjwa si atakuwa anateseka na kitu ambacho sicho.... Nyie mnajua mguu unauma kumbe mguu wa tatu ndio unaleta mushkeli
   
 12. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,014
  Likes Received: 1,822
  Trophy Points: 280
  Nimeambiwa kuna wagonjwa watatu waliowekewa hayo mawe, Mmoja ni Mkenya, Mwingine anatokea Mbeya a Mwingine katokea Moro. wanadai tabia ya huyo Nurse hua anashoboka sana hasa kwa wagonjwa wanaotoka mikoani na nje ya Nchi
   
 13. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaha vp ulishawai jaribu hii?
   
 14. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi, mimi sio nurse
   
 15. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Huyo nesi anajua tiba mbadala ndio maana anafanya kila linalowezekana kumtibia huyo mgonjwa ili apone haraka,tiba kama hizi hata waliooa wanajua hivyo sioni tatizo
   
 16. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama mgonjwa ameridhia mwenyewe kuhusu tendo linalofanyika na nesi anatumia kinga hilo halina tatizo. Ila kiitikadi si sawa maana itaonekana kama vile nesi anatumia nafasi yake vibaya. Kiafya ni sawa kabisa maana kwasisi tuliopita fani ya utabibu tunasema hakuna tiba nzuri ya kiakili,kimwili,kimawazo zaidi ya mapenzi. Kwamba inasemekana watua wanaofanya mapenzi mara kwa mara wanaafya nzuri kuliko wasiofanya. Mapenzi ni kama dawa inavyotibi ila tuwe makini kwa athari zake kama obsession. Kama mgonjwa hakuwahi kupata mapenzi basi nafsi yake itakuwa safi kupokea penzi analopatiwa. Tunasema kwamba mapenzi yawe ya kipimo ili kuwa dawa.
  Hivyo basi kama huyu nesi yuko kiukweli zaidi ni faida kwa mgonjwa ila kama ni feki basi ataumiza nafsi ya mgonjwa na itachangia kuchelewa kupona.
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Imefikia wakati hata nduguze wakienda kumtazama huyo mgonjwa, bibie-nesi anafura ajabu na kuhakikisha wanaondoka mapema iwezekanavyo...ukishangaa ya musa...!
   
 18. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana anatoa huduma kwa mgonjwa mmoja tu? au anatoa kwa wagonjwa wote (waliovunjika) lakini kwa zamu?
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapo sasa sijui, ila uhusiano wake na huyu jamaa yetu umekuwa kama vile wa wazi sasa!...ha ha haaaa!
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Du..
  Mkuu, hii ni habari mpya tena!
  Unaposema MAPENZI YAWE NA KIPIMO, NI KIPIMO GANI SAHIHI CHA MAPENZI?...AU INATOFAUTIANA MTU NA MTU?
   
Loading...