Taarifa ya kifo cha mwenyekiti wa chadema kata ya mlola

Rest in peace Kamanda.Mchango wako utakumbukwa.U a the hero

Innalillah wa ina illaihi Rajiun

 
Mungu awape faraja na moyo wa subira wafiwa wote! R. I. P Kamanda!
 
Daima tutakukumba!R.I.P shujaa wetu.poleni makanda,wapenda na wasiopenda mabadiliko wa lushoto.tupo pamoja
 
we loved you much but God the creator of everythin loved u much.rest in peace comrade
 
Rip m/kiti,kawaambie makamanda shirembi,bob,wangwe na wengine kwamba makamanda tunawakumbuka kwa rangi nyekundu na kwamba mapambano ya ukombozi yanaendelea na kwamba yapo katika hatua nzuri.
 
RIP Salim. Mwambie Regia bado na thread yako inaendelea kukusanya kero za wananchi, zinasemewa bungeni lakini sirikali si sikivu na mpango wa M4C tayari umejizatiti kuingoa C c em madarakani.
 
Back
Top Bottom