Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
- Thread starter
- #21
Mkuu baada ya Kumaliza kusoma post yako hii na kuielewa nilijikuta nacheka ghafla ha ha ha ha ha ha ha ha :smile-big:jibu liko hapa; "
Rais amekemea na kuwataka watu kuwa wastaarabu, wavumilivu na kuheshimu imani na mitizamo ya watu wengine". Kumbe keshawajua wahusika!!?? Tuna safari ndefu sana.