Taarifa ya BBC ikizungumzia maendeleo ya ujenzi wa reli (SGR)

tumenunua sawa ma drimulaina swala lililobaki ni namna ya uendeshaji management ujanja wa ku compete na tulio wakuta ktk biashara n.k

vinginevyo mtabaki na maendeleo ya vitu visivyoweza kufukia madeni mliyo nayo visivyoweza kuinua pato la mtu mmoja mmoja
visivyo weza rudisha heshima ya shilingi yetu dhidi ya dola visivyomfaidisha muuza nyanya au maziwa kwenye baiskeli kule geita na chato yake
 
Hiyo ni taarifa tu ya habari kama zingine na wameongelea "Ambition", sasa unaweza uwe na "Ambition" lkn usii-achieve. Projects nyingi tulizonazo ni "White Elephant".
 
Kama maendeleo ingekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari vya nje, basi Tanzania isingekaa itangazwe huko.
 
Waache upuuzi, watuulize kwanza sisi wananchi tunavyosota msoto! Maisha yamekuwa magumu, hela yote jamaa linapeleka huko watoto hawana chakula yeye tu.
Hamna kitu hapo!
 
Back
Top Bottom