Usihofu, hii itakua siri yetu shem. Si unajua ukimmiss mtu na kama una ya kumwambia unashikwa na kihoro? Ndo maana nilimuwahishia Baba V yale makhabari.
Jumapili ipo mzuka. Huyu Bi. Shosti wako ametoka kaenda chachi halafu kaniachia katoto kasaidizi ka nyumbani ni balaa. Chuchu saa sita, kiuno kama nyigu, jicho kama kana degedege halafu kamevaa kanga moko kanajipitisha tu hapa sebuleni. Kameniambia, 'baba kama utahitaji chochote niambie tu' huku kameng'ata kidole.
Hata chai imeniisha hamu, bora tu niende mizunguko tu nikamsalimie mkongoman Chimbuvu, sitaki lawama.
kweli huo uamuzi wa busara maana nimjuavyo shost ataua,jiendee kwa mkongo tu mkabadilishane mawazo coz ukibaki utamsababishia mkeo mada,na hicho kibeki tatu hakina adabu ,nitamwambia bi dada akitimulie mbali!