baba ubarikiwe pamoja na tumbo lililo kuzaa
Pole sana Mkuu ujichunge sana na pia kuacha kabisa matembezi ya usiku ukiwa peke yako.
kaka unataka kuwa sodomized au unapenda kuwa sodomized make nimesoma kwa makini sana naona kama kuna vitu vingine unavitaka kama hao wahusika umetjiwa wapeleke polisi.
Usalama wako uko hatarni vipi?Nadhani CCM huwa wanasema vipo vikao vya Chama,kama una maoni kwa nii hutoi kule.
Kwa hiyo nadhani wee ,Good Man,toa maoni hapa na kule,au usitoe maoni hapa,toa maoni katika vikao vya Chma.
1 - 10 ni maisha gani hayo, atakuwa nusu jela kabisa. Hahahaha! Mchambuzi anajua nini cha kufanya na wapi ni salama. Hapa nikujaribu kuhalalisha mission baada ya masaibu yote hayo.Namshauri hivi....
1- Peleka majina husika kwa wakili anayeaminika,
2- Fungua jalada la taarifa Polisi
3- Nunua saa inayorecord sauti na video, pia iwe na Siren Alarm,
4- Nyumbani kwako nje uwe na cctv camera/Video alarm
5- kuwa na utaratibu wa kutembea na pepper can ili wakikuvamia basi waweza kuwapulizia machoni
6- Usipende kuhudhuria sehemu hatarishi
7- Usijifichefiche wala kutumia vichochoro
8- Usipende kuwa mkweli wa directions zako isipokuwa tu kwa watu wanaojua masahibu yako
9- Ukiwa na uwezo weka mtu atakayekuwa anafanya surveillance yako/sweepman
10- Tumia GPS phone ambayo wife or ralative atakuwa anatrack kila uendapo
tenende kama hii pia ni ID ya propaganda ya CDM basi chama kimekosa waongozaji, kitengo cha wapambanaji wa mtandaoni kilikuwa na afadhali alipokuwepo Ludo siku hizi vijana mnajiandikia tu ilimradi muoneshe idadi ya posts kwa mabwana zenu.
Ingefaa hii thread itoke kwenye gazeti ili idadi kubwa ya watanzania ijue ccm inavyofanya siasa za vitisho, utekaji na uuaji.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mchambuzi,
Mimi siku zote huwa na wonder are you a he or a she , picha yako huwa siielewi elewi kabisa.